Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

nasema hizo story za madarasa elfu 15 sijui barabara isiwe sababu ya kukopa matrilion kila sikuu... tamisemi kila siku wanaripoti hela za miradi kuliwaa ovyoo tuu yani aibuuu.. madaraja yanajengwa ya ovyoo unaambiwa zimetumika mil 200. UFISADI ULIOPO UNATISHA
 
Marekani. Uingereza wenyewe wanakopa itakuwa Tz???
 
Mkuu,tuwe realistic muda mwingine..mfumo wa uongoz kwa nchi yetu unajulikana..Rais ndo kila kitu.Hawa mawaziri tutawaonea bure
REALISTIC ni kuwa mwigulu ndo anamshauri rais hizi tozoo za ovyooo
 
Sasa km ukitoa kuanzia 3M and above unakatwa 4000 tu unalalamika nini? Hakuna vya bure lazima tuchangie maendeleo ya nchi yetu. Tuwe wazalendo. Mwigulu mbunifu nampongeza sana
Sasa hiyo ni cost za gvt bado bank husika sasa nao wataongeza za kwao
 
Serikali yatakiwa ipunguze matumizi yake
Ipunguze posho za vikae
Ifanye kazi virtually
Ipunguze per diem

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…