rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
nasema hizo story za madarasa elfu 15 sijui barabara isiwe sababu ya kukopa matrilion kila sikuu... tamisemi kila siku wanaripoti hela za miradi kuliwaa ovyoo tuu yani aibuuu.. madaraja yanajengwa ya ovyoo unaambiwa zimetumika mil 200. UFISADI ULIOPO UNATISHATanzania nzima ina barabara km ngapi zinahitaji lami? Gharama ni kiasi gaini kukamilisha lami?
Lakini kipaumbele ni barabara tu? Elimu, maji, umeme, afya, ulinzi na usalama sio lazima?
Hiyo mikopo/ kodi serikali inazokusanya inatosha kumaliza matatizo yote kwa mwaka mmoja?
Ukilijua hilo huwezi jiuliza kod/ mikopo yote inafanya kazi gani.