Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Serikali yatakiwa ipunguze matumizi yake
Ipunguze posho za vikae
Ifanye kazi virtually
Ipunguze per diem

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yani anaongeza mshahara kwa wananchi asilimia 30 ambao wameajiriwa kiduchuu snaa alafu anazunguka mlango wa nyuma kuongeza tozo kwa wananchi wote...
 
Mwigulu ni mtu hatari sn
 
Niseme tu neno moja: Private sector ndio Engine ya Uchumi
 
Komesha hao sukuma gang. Tozo hizo bado hazitoshi. Leteni na tozo za mawio ya jua, kila jua likichomoza tu tupigwe tozo.
 
Wizi
Wizi
Wizi
Madawa watanunua na mawe..?

Barabara watajenga kwa kutumia nini

Mishahara ya watumishi mnayotaka iongezwe pesa itatoka wapi...?

Ajira mpya mnazolilia kila siku unadhani hao watu tutawalipa upepo..?

Huduma zote za kijamii zinategemea kodi zetu mimi na wewe
 
Hakuna mnyonge aliyekandamizwa, maendeleo yanagharama zake
 
Wenzetu hamna akili?
Atm ukitoa pesa unakatwa na bank, sasa hivi serikali pia itaweka makato yake. Sasa hapo inapunguwaje?

NB
Pia Kodi na tozo ni lazima
Serikali lazima ipate mapato, hata kwa kutumia nguvu
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Benki ukitoa pesa dirishani wanakatwa Tsh 5,000/= Mwigulu naye hapo hapo anakata 5,000/= ukitoa mala kumi basi unakatwa Tsh 100,000/=.

Tuendelee kulamba Asali.
 
Lameck sijawahi kumuelewa hata awe Prof naona yupo chini sana sana daah yaani Tanzania yenye kila aina ya rasilimali pana Tozo kuliko Nchi ambazo hazina kitu huyu jamaa ameferi ana atatuferisha sana hawa watendaji wa kutaka sifa ili mradi watu waumie ni wabaya sana...
 
Kwahiyo nini kinakuwasha wewe sukuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…