rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Yani anaongeza mshahara kwa wananchi asilimia 30 ambao wameajiriwa kiduchuu snaa alafu anazunguka mlango wa nyuma kuongeza tozo kwa wananchi wote...Serikali yatakiwa ipunguze matumizi yake
Ipunguze posho za vikae
Ifanye kazi virtually
Ipunguze per diem
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app