Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Serikali yatakiwa ipunguze matumizi yake
Ipunguze posho za vikae
Ifanye kazi virtually
Ipunguze per diem

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yani anaongeza mshahara kwa wananchi asilimia 30 ambao wameajiriwa kiduchuu snaa alafu anazunguka mlango wa nyuma kuongeza tozo kwa wananchi wote...
 
... the worst case ni kuvuta hela yako kutoka benki ikaingia kwenye mobile-money then ikaenda kutolewa kwa wakala kwa wale wavivu wa kwenda ATM; utalizwa hadi ukome. Makato yatakuwa hivi kwa mfano wa Tigo-Pesa;

Bank ==> Serikali ==> Tigo-Pesa ==> Serikali ==> Wakala ==> Serikali ==> Wewe!

Pesa yako hiyo! Nilikuwa na huu mchezo sirudii tena.
Mwigulu ni mtu hatari sn
 
Hii awamu ya sita haijatokea hewani.
Imepokea nchi ikiwa na mipango mikubwa sana, contract za matrillion zimesainiwa na hazijakamilika. mfano JNHPP/ SGR tu, ni zaidi ya trillion 20. Na awamu iliyotangulia ajira mpya serikalini ilikuwa ni ndoto, nyongeza ya mishahara kwa miaka 6 ilikuwa ni ndoto yote ni kuhakikisha miradi inakamilika.

Awamu ya sita imebeba vyote vilivyoshindwa kufanywa na awamu ya tano. kuongezwa kwa tozo ni kuhakikisha ya awamu ya tano hayakwami na ambayo hawakuwezekana awamu ya tano kwa miaka sita yanafanyika.
Niseme tu neno moja: Private sector ndio Engine ya Uchumi
 
Komesha hao sukuma gang. Tozo hizo bado hazitoshi. Leteni na tozo za mawio ya jua, kila jua likichomoza tu tupigwe tozo.
 
Wizi
Wizi
Wizi
Madawa watanunua na mawe..?

Barabara watajenga kwa kutumia nini

Mishahara ya watumishi mnayotaka iongezwe pesa itatoka wapi...?

Ajira mpya mnazolilia kila siku unadhani hao watu tutawalipa upepo..?

Huduma zote za kijamii zinategemea kodi zetu mimi na wewe
 
Siamini kama Lameck na timu yake wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato isipokuwa kuwabamiza wanyonge kwa gia ya tozo za miamala!

Am sure deposit kwa bank zitapungua lkn pia kbl ya sheria hiyo kuanzia pesa nyingi zitachotwa kurudi kuhifadhiwa kwenye magodoro!!
Hakuna mnyonge aliyekandamizwa, maendeleo yanagharama zake
 
Wenzetu hamna akili?
Atm ukitoa pesa unakatwa na bank, sasa hivi serikali pia itaweka makato yake. Sasa hapo inapunguwaje?

NB
Pia Kodi na tozo ni lazima
Serikali lazima ipate mapato, hata kwa kutumia nguvu
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Benki ukitoa pesa dirishani wanakatwa Tsh 5,000/= Mwigulu naye hapo hapo anakata 5,000/= ukitoa mala kumi basi unakatwa Tsh 100,000/=.

Tuendelee kulamba Asali.
 
Lameck sijawahi kumuelewa hata awe Prof naona yupo chini sana sana daah yaani Tanzania yenye kila aina ya rasilimali pana Tozo kuliko Nchi ambazo hazina kitu huyu jamaa ameferi ana atatuferisha sana hawa watendaji wa kutaka sifa ili mradi watu waumie ni wabaya sana...
 
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti kama inavyoonekana kwenye jedwari hili hapa chini.

The Government of Tanzania has imposed levy on all withdrawals done over the counter, ATMs’ plus all transfers (TISS & SWIFT) w.e.f 01.07.2022 as gazetted in the Government Gazette NO. 478V published on 01/07/2022.

View attachment 2298497
Kwahiyo nini kinakuwasha wewe sukuma?
 
Back
Top Bottom