Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Yaani mfano umelipwa mshahara na hio hio serikali ukaingia benki halafu unaenda benki au atm kutoa hela serikali tena wanakukata TOZO(Hapo kama bank nao huwa wanatoza unaliwa huku na huku)
Huo huo mshahara umeshalipa kodi serikalini (paye)! Kuuchukua Tena unalipa kodi. Kweli mama anaupiga mwingi.
 

Ili tukuweke wewe?
Nchi iliyosheheni wajinga kama wewe ni shida
 
Mkuu Mambo siku yakifika shingoni mbona tutajikuta tumeamkia roads utadhani Kama tumeambiana
 
Wenzetu hamna akili?
Atm ukitoa pesa unakatwa na bank, sasa hivi serikali pia itaweka makato yake. Sasa hapo inapunguwaje?

NB
Pia Kodi na tozo ni lazima
Serikali lazima ipate mapato, hata kwa kutumia nguvu
Halafu ikishapa pata mapato ikanunue V8 za kisasa kwa Mwigulu. Zingine ikanunulie wakuu wa taasisi hizo V8 na kuwapa misafara.
 
Halafu ikishapa pata mapato ikanunue V8 za kisasa kwa Mwigulu. Zingine ikanunulie wakuu wa taasisi hizo V8 na kuwapa misafara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa ngoja kesho nikatoe mzigo wote naandika na barua ya kufunga account
 
Itabidi turudi tu kwenye barter trade

Ova
 
Uzuri ni kwamba hata wale chawa wao nao wanasikilizia utamu wa ngoma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Watu wanazidi kuchanganyikiwa...na bado...
Mwigulu anatufaa kwa Urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…