Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wewe unataka mirija irudi au uzibiwe mirija? Acha upumbavu eti.Kwa asiyekuelewa wewe ni msaka tonge tu anayeongozwa na maslahi binafsi na ubinafsi-Mirija imerudi unaanza kupangia wengine nini cha kuwaza humu mitandaoni? 😳 😳 😳
Kweli tuko pazuri!Tena yako safi Sana ,tueleze wewe kilichohatibika
Balozi hakupi ugali,wewe ongea je bei za Mazao zimeahuka ? Ila hizi hadithi hazina maana kwako wala kwa mwananchi wa kawaida.Kweli tuko pazuri!
Balozi toka nchi mbali mbali zinaongezeka!
This is typical ubinafsi aliokuwa anapambana nao Magu- Crimea ndo maana akasema ubinafsi wa watu wachache kama nyie ndo unaliangamiz taifa.sasa hv ule wizi wa kwenye construction sector umerudi na mnafaidika ndo mnatoa ujinga humu mitandaoniWewe unataka mirija irudi au uzibiwe mirija? Acha upumbavu eti.
Naaam mirija imerudi maana Meko aliua uchumi ikiwemo sekta binafsi kwa sasa tumepata nafuu.
Wewe si zamu yako na Meko imeisha ni wakati wa kutulia badala ya kulia Lia,kutesa kwa zamu ndio maisha.
Safi kabisa. Chama kiko mikono salama kabisaUnaonaje hali ilivyo baada ya chama kutoka kwenye mikono ya washamba na kurudi kwa watoto wa mjinj kina JK? Mambo safi ee?
Team CCM washamba wana tabu sana. Yani wanaona Meko alikuwa sahihi sana kiasi kwamba hakuna binadamu aliye hai anaweza kumfikia...Tena yako safi Sana ,tueleze wewe kilichohatibika
Huyo jama ni opportunist sana,Mwanzoni alikuwa anakesha humu mitandaoni akijifanya anakuja na ajenda ya kitaifa kumponda MEKO kumbe ubinafsi tu.Sasa hv construction sector chini ya samia wameanza kupata hela ndo anaanza kupangia watu humu mitandaoni nini cha kufanya.Ni ushambaTeam CCM washamba wana tabu sana. Yani wanaona Meko alikuwa sahihi sana kiasi kwamba hakuna binadamu aliye hai anaweza kumfikia...
Wanaamini hivi sasa anaongoza malaika...
balozi anazunguziaga tu diplomasia wala awezi kutamka demockrasia
Mama Tozo anapaswa kumfuatilia Kwa karibu Waziri wa Mambo ya Nje kuona utendaji wake. Tamko alilolitoa juzi alitengue haraka kabla Mambo hayajaharibika zaidi. Akishupaza Shingo atajua yeye.Serikali iache kuwatisha mabalozi. Juzi alisikika waziri akiwapiga mkwara.
Sasa serikali ina sikitika nini tena?
Pigeni mkwara wao wana rudi kwao. Kaeni na ubabe wenu.
insignificance
With all those credentials, she is failing in the diplomatic field, pathetic!Alianza vibaya wapi?
she is alone of the most decorated diplomats and her cv huwezi kuimatch
-Kuongoza Great Lakes Initiative tena enzi za vurugu za kagame na wenzake
- elimu
- kuwa Balozi
- kuwa katibu mkuu wa wizara ya nje
- kuwa mkurugenzi wa African studies George Washington university
tupe cv yako sasa