Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

Mbona sababu za kufunga ubalozi zilizoelezwa kwenye hii taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ni tofauti na zile zilizoelezwa kwenye taarifa iliyotoka jana kwenye vyombo vya habari?
Ndiyo serikali ya Tanzania ilipofikia mkuu.
 
Tumekuwa Matonya wa Kudumu... kila siku omba omba tu... ifike mahali tutathimi misaada yote tuliyopewa na nchi wahisani , imefanya nini na imetumikaje kabla ya kulia lia humu kwamba wanaondoka... wana sababu zao na tuziheshimu, hawakusema kwamba kuondoa ubalozi ndio mwisho wa misaada yao... labda hilo walikewe wazi ili Matonya Tanzania ajue namna ya kujikimu miaka 2 baada ya sasa...
 
Yule nae anaongea haya publicly huko ndani anaagiza mengine.

Bibi tozo.
 
Democrasia na utawala bora!
 
Endeleeni kuendesha nchi kama Jahazi
Tatizo ni kwamba mzimu wa Magufuli Bado uko ikulu
Mama Bado Hana dira yake binafsi
 
Ukipanda bangi,huwezi vuna mahindi.
Huku kwetu huwa tunapanda mpunga majarubani lakini unakuta majani tunayaita 'nachipunga' yameota pamoja na mpunga. Ni majani yanayofanana sana na mpunga usipokuwa makini unaweza usiyatoe wakati wa palizi ukidhani ni mpunga!
 
With all those credentials, she is failing in the diplomatic field, pathetic!
She is not../ if anyone failed our foreign diplomacy, then atakua may fab president- JPM - we reap what we saw

waswede hawa kaamua overnight hii kitu

wao sio kama sisi tunakurupuka tu

Na ndio maana wametoa 2 years notice

they are also closing one consular in China , Argentina and one more country

these things Kwa wenzetu sio shoddy shoddy

wanapanga, wanachagua na wanatekrleza

their purpose hapa is no longer the same
 
Kaaa
 
Huyu waziri alianza vibaya nina wasiwasi na uwezo wake
Danmark waliamua kujiondoa Tanzania kabla mama Mulamula hajaota kuwa siku moja anaweza kuukwaa uwaziri. Uamuzi wa Danmark hauna uhusiano na uwezo wa mama Mulamula. Watanzania tu wavivu wa kufikiri.
 
Danmark waliamua kujiondoa Tanzania kabla mama Mulamula hajaota kuwa siku moja anaweza kuukwaa uwaziri. Uamuzi wa Danmark hauna uhusiano na uwezo wa mama Mulamula. Watanzania tu wavivu wa kufikiri.
Ungetuletea details uamuzi wao ni wa lini na kwa sababu zipi siyo kukimbilia kusema watanzania ni wavivu wa kufikiri. So what ?
 
This is typical ubinafsi aliokuwa anapambana nao Magu- Crimea ndo maana akasema ubinafsi wa watu wachache kama nyie ndo unaliangamiz taifa.sasa hv ule wizi wa kwenye construction sector umerudi na mnafaidika ndo mnatoa ujinga humu mitandaoni
Wewe ambae sio mbinafsi umelisaidiaje Taifa fala wewe.

Kwa hiyo ukiona wizi unaendea kuukenulia meno bila kuchukua hatua,huoni ulivyo mjinga?

Popoma kama wewe zaidi ya kuropoka huna kingine ukiambiwa weka ushahidi hapa utaishia kutoa mimacho kama kabudi anamuabudu Meko.
 
Wewe ni mshamba tu kulio hata MEKO
 
Jibu swali wewe mjanja na ambae sio mbinafsi umelisaidiaje Taifa? Kaya maskini mna shida sana za stress aisee.
Anayemjibu mjinga ni zaid ya mjinga mwenyewe. Tatizo vijana wadogo mkishakuwa na mentality za kijani mnakuwa rubbish kabisa.Sasa wewe akili zako na MEKO zinatofautiana nn zaid ya maujinga?
 

Aliibana Construction sector ipi?Yeye si ndio alikua anajipa tenda na MAYANGA Co. yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…