yes na lengo lisiwe kurudisha watalii waliokwishakuja.Mkuu, swala siyo gharama tu, swala ni thamani ya gharama anazolipa. Ukiacha vivutio kama hifadhi za Serengeti, Ngorongoro, Gombe na Mlima Kilimanjaro, au visiwa vya Zanzibar, Mafia, nk...vivutio vingine huduma zake ni za chini sana...
Hakuna kitu kama kutoa SARVICE nzuri kwa mteja wako ,ukae shimoni mteja atakufuata huko huko ukiwa na sarvice nzuri ,lkn ikiwa mambo yenyewe ya kiswahili swahili hakuna mtalii wa ndani wala nje atakae kuja mara ya pili ktk matangazo yaho unaandika mambo mingi ya kumvutia lkn akifika haoni hata moja .Kwa kweli kuna mambo mengi ya kuzingatia .Asante kwa mrejeshonyuma....
Hilo ni tatizo.Hakuna kitu kama kutoa SARVICE nzuri kwa mteja wako ,ukae shimoni mteja atakufuata huko huko ukiwa na sarvice nzuri ,lkn ikiwa mambo yenyewe ya kiswahili swahili hakuna mtalii wa ndani wala nje atakae kuja mara ya pili ktk matangazo yaho unaandika mambo mingi ya kumvutia lkn akifika haoni hata moja .Kwa kweli kuna mambo mengi ya kuzingatia .
Kuna kitu kwenye service provission "queing models" /"Queing Management Sysytems" ... Sijui watendaji wetu hawajavisomea 'na naamini hiyo wizara husika wachumi, mipango, wathamini 'na wote wesoma hicho ...tunafeli wapi sijuihivi hawa watu wanafikiriaje? wakifanya dola 100 hapa kupanda mlima tutapata malaki na malaki ya watalii kwa mwaka hivyo bei kubwa sio kupata sana tuangalie na wingi wa watu pia
Point sn umeongea mkuuNadhani tunatangaza vitu tunavyoita vivutio lakini hata wenyewe sisi watz havituvutii...
Tuna kodi nyingi sn kwa kweliMtaongea yote ila Tanzania Kodi Kodi Kodi ni nyingi mno.
Punguzeni Kodi otherwise tutabaki na masimba yetu
Kuna hatari ya kuanzishwa na Oxygen levy maana watafiti wazalendo wamegundua oxygen ya Tanzania ni nzuri kuliko duniani kote hivyo ipo haja ya kuwekewa kodi kwa watalii maana ni chanzo cha mapato. Jamani sijatimiza vigezo vya uteuzi kwa awamu hii kweli?Urudi Tanzania kufanya Nini? Kwingine duniani nchi zinapunguza Kodi kubusti utalii, hapa kwetu tunaongeza Kodi kwa watalii kila uchao. Tayari Kuna jini jipya linaitwa bed levy linasubiri wageni wamiminike kwa wingi
Utamaduni na usafi ni jambo muhimu, mindset zetu kuhusu mazingira ya usafi kwa kweli. Nikitolea mfano Zanzaibar sidhani kama wangewekeza katika vitu muhimu kama public toilets nzuri za uhakika, mji uwe safi ukarabati wa majumba ya kale, kujengwe hostels za bei nafuu kusudi wale watalii wa kundi lanaitwa backpackers huwa wanapenda kufikia.Sijui ndo uzalendo ama Ni Nini lakini kiukweli sisi tunaona Tanzania Kama nchi ya kipekee Sana duniani kitu ambacho sio kweli, Wala si kweli kuwa Tanzania ni nchi pekee ya kuvutia watalii duniani. Kuna nchi nyingi duniani Zina vivutio vya kutosha hasa wanyama wa mwitu. Hapa Afrika tu Kuna nchi Kama Botswana, Namibia na south Afrika Zina wanyama wengi na vivutio vingi hata nje ya wanyama...
Mimi nafikiri tungetoa unafuu kwa vifaa hivi ili kusudi wajasiriamali wengi wajitokeze wanunue yale macamping equipment. Magari ili utalii wa ndani ukueHapo land cruiser ili ziingie zitengenezwe kwa ajili ya kubeba watalii Kodi yake ipo juu tunabaki kuwa na gari chakavu kwa wageni wanaolipa Kodi kubwa...punguzeni Kodi kwa vifaa vinavyohusiana na utalii ili kuweka mazingira mazuri ya kupata wageni wengi mimi ninapata wageni wanaoenda table mountain nikiwashawishi baadhi wanakuja Tanzania mwaka unaofatia wanarudi Cape hawataki kusikia kuhusu Tanzania tena maana Cape gharama za kawaida mno au hapo Botswana gharama zao zinaeleweka sio kama sisi na tunasahau kuwa wanyama wapo na wataendelea kuwepo tuu ni sisi kuweka mazingira rafiki kwa wageni...