Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Jiwe ndio aliua hiyo mifuko ya jamii![]()
Watanzania ni watu ambao wanadhani ni aina sheria.
Pension azijiwikezei tu hela zipo regulated on amount ya kuwekeza kwenye mradi na aina ya miradi.
Mradi wowote wa commercial property pension funds airuhusiwi kuwekeza peke yake na ubia wake autakiwi kuzidi asilimia 30% ya capital investment ya mradi wote.
Watu walikuwa hawashimu sheria enzi za dau miradi yake mingi kwanza overpriced halafu NSSF inawekeza capital zaidi ya kile kinachoruhusiwa na serikali. Ata daraja la Kigamboni NSSF aikutakiwa kuwekeza zaidi ya 5%.
Ni hivi Magufuli alikuwa na kazi ngumu sana ya kuirudisha nchi kwenye mstari; hiyo mifuko aliikuta chali na kuanza kuipa uhai.