Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Dkt JPM ndiye baba yetu, utake usitake he is the reason wewe na mimi tunajibishana JF. Dkt Magufuli ni mteule, ana uwakili mwema toka kwa baba Yetu Mungu Baba.

Jf iko kabla ya yeye kuwa rais, na majibizano yalikuwepo hata kabla yake, tena wakati huo wamiliki wakiwa huru kwa kiwango cha kuridhisha, kulinganisha na sasa.
 
soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.

hahahaaa kuunga mkono juhudi!
 
Usikute bado unaishi kwa wazazi wako ambao wanaishi kwa hisani na ukamilifu wa Dkt Magufuli, then unasema na wao wanalamba soli za viatu. Mijitu kama wewe ndiyo ilipaswa isizaliwe Tz.

Kwa upumbavu wenu mnakufuru pasipo kujua. Tunaishi kwa hisani ya Mungu, hakuna ukamilifu ktk matendo ya mwanadamu.

Ingawa wewe ni muislam ila soma kisa cha Herode ktk Matendo 12:21-23;

21 Basi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hotuba mbele yao.
22 Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu.
23 Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na chango, akatokwa na roho.

Sipingi kupongeza kazi nzuri za Mheshimwa, ila kuweni makini na sifa mnazompa...We have a very loving and simple God, but in real sense He is very complex.
 
Juhudi yakuongeza pambia itakuwa kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…