Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm hakuna ukabila.
Kwamba CCM kuna ukabila? Au unajisahaulisha kuhusu Chadema na ukanda wa kasikazini?Hakuna anayekuuliza, sisi ni watu wazima tunaona wenyewe kwa macho yetu.
Dkt JPM ndiye baba yetu, utake usitake he is the reason wewe na mimi tunajibishana JF. Dkt Magufuli ni mteule, ana uwakili mwema toka kwa baba Yetu Mungu Baba.
Kwamba Ccm kuna ukabila? Au unajisahaulisha kuhusu Chadema na ukanda wa kasikazini?
Mimi najua Ccm haina ukabila ndio maana imejidhatiti kila kanda bara na visiwani.Ni hivi, utanyoosha tu maelezo. Sisi ni watu wazima na tuna uwezo wa kupima. Hivyo ww jitundike vizuri kwa utetezi wako.
soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star tv!
Chakubanga ndio mzazi mwenzakeYuko maternity leave kazaa mtoto njiti hivyo hataonekana kwa muda tu kitoto bado kiko kwenye kiota
Ili niweze kujifunza na tukio hili ni muhimu Paskal atueleze sababu za kuzuiliwa kwake.Tunaomba sababu ya kuzuiliwa hiyo Press Card yake, au ni lile swali?
Usikute bado unaishi kwa wazazi wako ambao wanaishi kwa hisani na ukamilifu wa Dkt Magufuli, then unasema na wao wanalamba soli za viatu. Mijitu kama wewe ndiyo ilipaswa isizaliwe Tz.
Jitu jinga sana wew endelea kuabudu sanamu yako....nyambafuDkt JPM ndiye baba yetu, utake usitake he is the reason wewe na mimi tunajibishana JF. Dkt Magufuli ni mteule, ana uwakili mwema toka kwa baba Yetu Mungu Baba.
Gerson Msigwa ajiangalie sanaPascal Mayalla , Lazima apewe cheo na Magufuli tuombe Jpm ashinde urais 2020-2025
Juhudi yakuongeza pambia itakuwa kubwa sanaMwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza kurusha vipindi vya kuhamasisha uzalendo nchini.
Source: Jicho Letu ndani ya habari Star tv!