Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

Tunaomba sababu ya kuzuiliwa hiyo Press Card yake, au ni lile swali?
Swali la SOP kwenda kwa Mkulu? Lakini tambua Mayalla kikwetu ni NJAA.

Afande Sele kwenye Darubini alisema:-

"Unainuka sie tunakaa,ukipotea kwetu furaha ,adui muombee NJAA atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa"
 
Nilijua tu ule uandishi ule haukua wa bure! Saafi sana it pays kuwa nanihii
 
Wengi mlimuombea u DC naona mpaka ngwe imeisha hakijaeleweka, tuangalie tena awamu ijayo maana dalili nzuri imeonekana.
 
Kumbe wewe unaishi kwa hisani ya yesu wa Chato?
Wewe wasema. Hakuna aliye juu ya Uungu wa Mungu wetu. Hakuna anayesema Dkt Magufuli ni Yesu Kristu. Watu tunavyoguswa na utendaji kazi wake tunajikuta tunasema asante Mungu kwa kutuletea mkombozi wa kutoka utumwani mwa mafisadi, wezi, watumikia mabeberu n.k.,
 
Wiki iliyopita nilimwambia namjua Pasco wa enzi za JK, na Paskali Mayalla wa enzi hii ya Magufuli. Yeye alisema ni yule yule, wakati mimi nilimwambia tofauti ipo wazi.
Hivi alipoambiwa ana njaa kumbe walikuwa washampora press card yake? Kama ni baada ya tukio siyo fresh kumuongezea njaa maana atawezaje kuacha pambio za sifa? Aliyumba sana watu wakadhani ni ukuu wa Wilaya anauwinda. Pole sana comrade Pascal Mayalla
 
sasa nimeelewa kwa nini kusifu na kuabudu kumekuwa kwingi these last couple of years.

ambao tumekuwa tukimnanga Pascal Mayalla kwa kujipendekeza tulipaswa tujue kwanza predicament yake halafu tumsaidie (just like tulivyowachangia viongozi wa Chadema kulipa faini over 300M tusingeweza kushindwa kumuwezesha Pascal ili afanye investment kwenye eneo jingine kwa ajili ya kujikimu huku akiendelea kupigania kurudishiwa press card yake).

tungekuwa tumefanya hivyo, sidhani kama mada za Pascal humu jukwaani zingekuwa na sura ya kusifu na kuabudu kama afanyavyo sasa. sasa mlitaka baba wa watu aue watoto kwa njaa?

funzo: tusiwe wepesi wa kutoa hukumu kwa wengine kabla ya kutafuta ukweli kwanza.

mkuu Pascal Mayalla, mimi mwalimu M-Mbabe naomba uniwie radhi kwani kuna kauli za kitesi nilizitoa dhidi yako from time to time.
 
Hongera sana Pascal ,naamini kwa Sasa unanidhamu iliyotukuka ! Tofauti na enzi zileeeee!!!
 
Hongera brother Paschal.

You have proven them wrong.

It's my understanding that you are a patriot.

I wish u all u would wish for yourself
 
Hongera brother Paschal.

You have proven them wrong.

It's my understanding that you are a patriot.

I wish u all u would wish for yourself
 
Mabeberu wabaya sana sema nini? Nyama ya beberu ni tamu sana hasa zile testicles zikitumwa bila conditions
 

Attachments

  • IMG-20200627-WA0015.jpg
    37.5 KB · Views: 1
Pole na hongera Pascal. Uliifanyia nini serikali wakakunyanganya hiyo card?
Utabiri wangu juu yako: Naona sasa karibuni utaelekea lumumba ukiwa kama mteule fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…