CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
Wewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,haya upesi sana fanya kujijibu mwenyewe kwa ile ID yako nyingine.
#Kaziiendelee mkuu wanguww mkuu
Ha ha ha sijafika huku muda mrefu, nimejichimbia kusoma updates za kula ki masihara tu. Haya mambo mengine serious tueaachie wahusika maana hatuna uwezo wa kubadilisha watakalo, uwezo wetu unaishia kusifu au kupiga kelele tuWewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,
Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,
mambo za Multi ID yanajidhihiri hapa.Ha ha ha sijafika huku muda mrefu, nimejichimbia kusoma updates za kula ki masihara tu. Haya mambo mengine serious tueaachie wahusika maana hatuna uwezo wa kubadilisha watakalo, uwezo wetu unaishia kusifu au kupiga kelele tu
CHADEMA wanateseka sana na performance za MamaWewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,
Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,
Kwel kazii iendelee#Kaziiendelee mkuu wangu
safi.Namimi VUGU-VUGU vipi?
Unaandika halafu unakuja kujijibu mwenyewe. Huku unachungulia post yangu imesomwa mara ngapi?mambo za Multi ID yanajidhihiri hapa.
Umetuchosha we mama kwa kujisifia mitandaoni ili achaguliwe 2025. Huenda shutuma za uchawi wa kumuondoa mtangulizi wako zina ukweli#Tanzania nakupenda
Soma vizuri comment yako na ya jamaa yako,Unaandika halafu unakuja kujijibu mwenyewe. Huku unachungulia post yangu imesomwa mara ngapi?
Frankly speaking mambo serious sana nimeyapa kisogo. Ni kujitia stress tu. MMU kuzuri bana, stress freee
Hahahha Daaaah kuna mtu alikua mchawi kuliko yule bwana wa Gamboshi???!!Umetuchosha we mama kwa kujisifia mitandaoni ili achaguliwe 2025. Huenda shutuma za uchawi wa kumuondoa mtangulizi wako zina ukweli
Chai tu naona mzee. Tunapoteza muda mwingi kupambania yasiyotuhusuSoma vizuri comment yako na ya jamaa yako,
Tumpuuze kama vipi,Chai tu naona mzee. Tunapoteza muda mwingi kupambania yasiyotuhusu