Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Haya peleka jina wakuchague kwenye list ya mawaziri....


Tunachokiangalia je, ukuaji wa uchumi au mzunguko wa fedha unaenda sawia na ukuaji wa kipato cha wananchi? Au tunakazana kufurahisha genge la walio nacho?
Mkuu mimi hata uenyeketi tu wa Mtaa sina, Napewaje Uwaziri??

Jadili hoja achana na kujadili mimi
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Tanzania ni safe na Samia, Tuchape kazi
 
Mkuu mimi hata uenyeketi tu wa Mtaa sina, Napewaje Uwaziri??

Jadili hoja achana na kujadili mimi
Sina haja ya kujibu hoja yako angali ume skip hoja yangu....

Nimeuliza, wanakulipa shilling ngapi? Aliyekutuma mwambie anajiitahidi kujiongezea kipato na kukusanya kodi lakini fedha hizo mbona hazionyeshi unafuu wa maisha ya wananchi na mbona maisha yanaendelea kupanda....

Mwisho,

Mpelekee jina akuweke kwenye nafasi ya uwaziri au uizinishe jina wakuteue naibu spika
 
Mkuu pesa mtaani ipo cha Msingi tufanye kazi kwa bidii,

Hilo la kuwa Waziri ||Spika tuliache kwanza tupiganie nchi yetu ikue kimaendeleo,
 
Hivi ni mzunguko upi wakati KILA kitu kipo juu,

Jana nondo 12mm elfu 27000, mm10 elfu 19000, cementi elfu kumi na nane

Hujaweka mabati na matumizi ya kawaida, Hali sio Hali, mpo sifia Hata visivyosifika, kutoa matamko Ndugai kujiuzulu wakati yapo mengi twatakiwa yafanyia kazi
 
Mkuu ukisoma vizuri andiko langu utapata majibu yangu,
 
Mkuu wewe ni msomi mzalendo sana,

Nimekufuatilia sana nimegundua wewe ni Mzalendo kwa nchi na Rais wako,

Haya mambo hayasemwi yanafichwa fichwa kwani watu hawataki Watanzania wajue nchi yetu inavyopiga hatua kwa kasi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan,

Endelea kutuonesha kazi nzuri na bora zinazofanywa na Rais wetu,

Pesa mtaani ipo tatizo watanzania hawataki kufanya kazi kwa bidii na maarifa,
 
Asante sana kiongozi tuendelee kuipigania nchi yetu na Rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…