Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

500k = ni kama $200 hivi.
Huu ni mshahara wa mwezi.

Kijana bachelor anayeanza maisha matumizi yake Kwa siku.
- chai 1000.
- Lunch 2000.
- Dinner 2000.
- Maji ya kunywa 300.
Jumla 5300 = 5300 x 30 = 159000.
Luku kwa mwezi. = 10000.
Maji kwa mwezi. = 10000.
Mengineyo kwa mwezi. = 10000.
Kodi ya nyumba Kwa mwezi =. 30000.
Jumla mkuu Kwa mwezi= 219000/.

Mshahara kima cha chini. 500000/.
Matumizi. 219000/.
Salio Kwa mwezi. 281000/.
 
Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge

Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount

Mitano tena kwa Raisi Mama Samia
Acha usengerema. Kikwete alisha ongezaga kwa 100%
 
nhif
Chama cha kada yake
Pssf
Jitambue
 
Huna akili social security unaingiziwa chini ya laki kwa mwezi. Mwaka assume una 1.2m na sasa hivi vijana wanapata ajira 30+ years. Ukipiga hapo hesabu na kikokoto mtu anabaki kuwa maskini maishaa
Miaka uliyokuwa unafanya kazi hukuwa unafanya jambo kwamba ulikuwa unakula tuu Hadi uwe maskini kutegemea kikokotoo?
 
Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge

Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount

Mitano tena kwa Raisi Mama Samia
Enzi zile Serikali ndio alikuwa muajiri mkuu, kila mtu akitoka shule mkeka wa kazi huo hapo anachagua..,. sasa hivi Serikali wala haijali tena kuajiri mpaka ikiamua kwahio kwa idadi ya wafanyakazi inaowalipa na makusanyo na ufanisi wa ukusanyaji ulivyoongezeka wangeweza kata kusema kima cha chini milioni moja....


 
Huyu mama "Chura Kiziwi" haaminiki na sijui hata naweza kumuamini tena..

Ni mwongo na ni mama wa uongo katika mengi anayoahidi...

Alisema na kuapa mbele ya kila mmoja wetu kuwa, yale ya uhuni ya kile kilichoitwa uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 hayatajirudia tena ktk chaguzi zijazo...

Cha ajabu yakajirudia, tena kwa ubaya na uhuni wa mwanake hatari kabisa..!!
 
Hater tuliza boli.

View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1917921165550473480?t=63Ku6ng2qHWsjjlpc4KN4w&s=19
 
Nitapongeza baada ya waziri wa fedha kusoma bajeti yake, isije kuongezwa PAYE halafu huku tumeshangilia 😢 😭
 
Mshahara wa kima Cha chini huwa analipwa nani?
Hata mtu wa Certificate hapokei huo mshahara wa 370000.
 
Huna akili social security unaingiziwa chini ya laki kwa mwezi. Mwaka assume una 1.2m na sasa hivi vijana wanapata ajira 30+ years. Ukipiga hapo hesabu na kikokoto mtu anabaki kuwa maskini maishaa
Akili ninazo nyingi tu...nyinyi hamna shukrani MAMMBWA nyie hata mfanyiwwe nini hata mlambwe mikundu Bado mtakua hamna shukrani ...leta payslip inayoonesha mfuko wa jamii unawekewa laki..umesema chini ya laki ..tamka amount pumbavu wewe...umaskin mnautaka wenyewe..hakuna nchi utakayokua Dunia hii usilipe Kodi..mnataka mambo ya mserereko tu muishi kama mamwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…