Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Kampeni hiyo, huyu mtu anautaka urais kwa udi na uvumba. Watu watafungwa, watauawa, watatekwa na kuteswa ili yeye na genge lake wabaki madarakani
 
Hizi dalili mbaya sana kwa wapiga kura, uchaguzi huu uliotukabili.

Hili jambo kuwepo sasa kwa maono niliyopokea kiakili ni kama hujatuongeza hatutaiba na kukimbia na masanduku ya kura ,fikiria utaiona picha kwa ukaribu na undani zaidi.
 
No reforms no Election!!
 
Nani anaongeza gharama za maisha?Unaelewa hata uchumi wa Dunia unavyofanya kazi?
Unaelewa kwamba gharama zao maisha zimepanda Duniani kote?Na Tanzania sio kisiwa kisichoathiriwa na outside forces za kiuchumi.
Shule ulienda kusomea ujinga?Ongezeko la 130,000 litasaidia kupunguza makali ya maisha kwa wafanyakazi wengi waliopata ungezeko hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…