Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Eeeenh😂😂😂sijawahi kuona hvi vitabu. Mm nikasubiri wataje labda hawa the bus driver, au kile Chand😂😂😂😂
 
1. Hawa the Bus Driver vipi hajakizungumzia?
2. Mabala the Farmer je?
3. Kile cha Three sweeters one Husband amekizungumziaje?
 
Icho kitabu cha Dairy of Wimpy Kid kina movie yake sio mara moja nilisha ona inaoneshwa MBC 2 ana MBC Action kwenye vingamuzi vya azam, sijapata mda wa kuangalia sijajua ina maudhui gani
Haina maudhui ya ushoga wala nini ila tu labda ni ukorofi na utukutu ambapo mtoto anaweza ku absorb vitu anavyoviona au anavyovisoma akidhani labda bullying ni sawa n.k,

Nimeshangaa sana hivyo vitabu kua Banned kama ni maadili nadhani watoto wanaangalia tamthilia za watu wazima za kibongo, wanaangalia mziki ya singeli, wanaangalia na kusikiliza bongo fleva lakini hakuna Mtu anakemea.
 
Kupiga marufuku haitoshi ni kuvi Kusanya vyote na kuvisaka popote vilipo na kuvichoma [emoji91] Motooo.

Pia kuwasaka wasambazaji na mahali vilipokuwa vinatolewa either na mashirika binafsi, kikundi cha watu, au shule fulani.

Wahusika wahojiwe, Na pia mamlaka waache uzembe vitu vina ingizwa tu kiholela holela bila ukaguzi!
 
Vilikua kwenye Syllabus au Library?
Puhleeezz!!!

Sini mbwembwe tu na kufuata mkumbo baada ya kuona hiyo fake news inatrend online.

Na walivyo hawana akili hata hawajafanya research yoyote kuthibitisha hizo tuhuma ni za kweli, (maana kama wangefanya hivyo wangegundua ni uongo mtupu) wamelibeba tu kama lilivyo.
 
Back
Top Bottom