Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Puhleeezz!!!

Sini mbwembwe tu na kufuata mkumbo baada ya kuona hiyo fake news inatrend online.

Na walivyo hawana akili hata hawajafanya research yoyote kuthibitisha hizo tuhuma ni za kweli, (maana kama wangefanya hivyo wangegundua ni uongo mtupu) wamelibeba tu kama lilivyo.
Kumbe ilikua Fake news ya mitandaoni 😳 nimecheka kwa nguvu hadi nimeamsha waliolala,
Sasa itakuaje jamani mbona aibu hii
 
Hivi vitabu Ni janga wakuu,
Tusilete siasa ktk malezi ya taifa la keshoView attachment 2516421View attachment 2516422
CONTEXT IS EVERYTHING!!

Msiwe mnapenda kubeba vitu bila kufanya uchunguzi kidogo.

Hicho kitabu chenye chapter ya Fancying People kinaitwa What's happening to me? . Ni kwaajili ya kuwasaidia watoto wakike wanaoanza kubalehe (13yrs na kuendelea) kuelewa mabadiliko ya kimwili na kihisia wanayokabiliana nayo. Maudhui hayako nje ya makusudio hivyo hakuna chakulalamikia wala kulaumu.
 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchin...

Narudia kusema tena,Hivi vita ya ushoga na usagaji tunahitaji msaada wa KIROHO.Kwa sababu unatumika ujanja mkubwa sana kupenyeza haya maarifa ya kishetani.

Nadhani kitakachofuata sasa watafundisha kwa kutumia/f filamu.Ambazo hamtaziona.wamejifanya wameviweka kama siyo vistabu vya kiada wa ziada ili kuvifisha visionekane na wazazi.

Hiv hakuna mamlaka ya kidhibiti machapisho yanayoingia nchini kama wanavyofanya kwa filamu.

Ni wakati wa kuamka sasa
 
CONTEXT IS EVERYTHING!!

Msiwe mnapenda kubeba vitu bila kufanya uchunguzi kidogo.

Hicho kitabu chenye chapter ya Fancying People kinaitwa What's happening to me? . Ni kwaajili ya kuwasaidia watoto wakike wanaoanza kubalehe (13yrs na kuendelea) kuelewa mabadiliko ya kimwili na kihisia wanayokabiliana nayo. Maudhui hayako nje ya makusudio hivyo hakuna chakulalamikia wala kulaumu.
Na hivyo vingine Vya LBQTI?tupe ufafanuzi wake mtalaamu wetu
 
Iwe ni fake au si fake news, hivyo vitabu hatuvitaki.
Ewee mwenyez Mungu Tuepushe na hili balaa kwa watoto wetu
Fake news unaelewa iko wapi?

Wewe ushawahi kuvisoma? Huvitaki kwa nini?

Siku hizi watu wana download vitabu mitandaoni, wanasoma kwenye tablets.

Huko nako utazuia?

Utazuia na internet nayo watu wasisome websites na blogs usizotaka?
 
Vipigwe marufuku kabisa,na shule inayotumia vitabu hivi,ifungiwe kabisa.

Waanze na hizi international schools kama Ist, Braeburn na nyinginezo. Hizo shule ndio chimbuko la kufuata utamaduni wa kimagharibi wa kuhamasisha ushoga na usagaji.
 
Fake news unaelewa iko wapi?

Wewe ushawahi kuvisoma? Huvitaki kwa nini?

Siku hizi watu wana download vitabu mitandaoni, wanasoma kwenye tablets.

Huko nako utazuia?

Utazuia na internet nayo watu wasisome websites na blogs usizotaka?

Kwa sasa wacha wazuie pale wanapoweza huku wakitafuta njia mbadala ya kudhibiti huko kwenye blogs and websites.
At least wameanza kuchukua hatua
 
CONTEXT IS EVERYTHING!!

Msiwe mnapenda kubeba vitu bila kufanya uchunguzi kidogo.

Hicho kitabu chenye chapter ya Fancying People kinaitwa What's happening to me? . Ni kwaajili ya kuwasaidia watoto wakike wanaoanza kubalehe (13yrs na kuendelea) kuelewa mabadiliko ya kimwili na kihisia wanayokabiliana nayo. Maudhui hayako nje ya makusudio hivyo hakuna chakulalamikia wala kulaumu.
Kwaiyo unaona hiyo content iko sahii?
 
Back
Top Bottom