Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Kwani hao waliopitisha hivyo vitabu wanasemaje? Nchi hii haieleweki wenye vitabu vyao wanaweza wakakimbilia mahakamani
 
Fake news unaelewa iko wapi?

Wewe ushawahi kuvisoma? Huvitaki kwa nini?

Siku hizi watu wana download vitabu mitandaoni, wanasoma kwenye tablets.

Huko nako utazuia?

Utazuia na internet nayo watu wasisome websites na blogs usizotaka?
gays mmechefukwa na kupanic
 
Vinatolewa bure na mashirika ya magharibu hususani kutoka Marekani, wengi kujifanya watumishi wa kikuristo wanatoa kama msaada, kagueni ma begi yawatoto wenu, wasiengie kwenye hilo dimbwi la ushoga
Waarabu ilikotoka dini yenu ndio wafiraji, magharibi wanaiga toka uarabuni
 
Sasa nimeelewa upo upande kwenye uzi fulani ulimtetea sana kiongozi wenu wasabato kuvaa sketi.
Weka uthibitisho wa usemacho na huko kumtetea leta uthibitisho.

We kama umesoma watakiwa fanya utafiti wa kina kuhusu hilo jambo na sio unaambiwa nawe wakubali
 
Maadili ya kitanzania ni yapi. Kila mkoa Kuna wanawake Malaya wanaojiuza. Je, huo umalaya ni sehemu ya maadili. Je umalaya unafundishwa wapi
 
Weka uthibitisho wa usemacho na huko kumtetea leta uthibitisho.

We kama umesoma watakiwa fanya utafiti wa kina kuhusu hilo jambo na sio unaambiwa nawe wakubali
Sawa mada imeletwa bila ushahidi..context yangu ni kwamba nimeelewa wewe ni mtu wa upande upi.
 
Waarabu ilikotoka dini yenu ndio wafiraji, magharibi wanaiga toka uarabuni
Mkuu mbona unahisia kali za udini? Hapa tunaongelea mambo ya maadili, mimi sijaongelea dini hapa, hao wa mashoga sio wa kristo ila wana camouflage kama watumishi wa hiyo dini kupata wafuasi haraka ndo nilio andika.
 
umeingiza ukristo katika andiko lako la mwanzo. take care of the those sensitive issues!
 
Hivyo vitambu vitakuwa
IST
ISM
HOPAC
St C
DIA

Nimejaribu google ila sijaona sehemu kama kina maudhui tajwa.

Kama kuna mzazi ana ushahidi aweke hapa tuone, sio wa karatasi moja bali achukue video
Mh
Jaribu kuelezea zaidi
 
W
Hv kabla ya kukubali kupitishwa (vitumike kwenye shule zetu) huwa hawavisomi hao viongozi wetu!
Wanapita wakiwa bar na pombe Kali unatarajia nini. Nchii hii ambaye anafanya kazi yake akiwa hajalewa pombe ni walimu wetu tu. Lkn hata paroko wanalewa matiti na sketi za waumini wao
 
Back
Top Bottom