Watakufa wengi kwa mabifu ya madereva plus uzembeWale madereva wa malori wenye bifu na madereva wa mabus ambao wakiona bus inamuovertake alaf mbele kuna gari inakuja na yeye anaongeza mwendo waache hizo mambo ili ajali za uso kwa uso zisiwe nyingi maana usiku ndo hatari zaidi
Watakufa wazazi wako waliozaa dubuwasha kama weweMtakufa km kuku wa kideri subiri takwimu
Latra mchana tu wameshindwa Vts zinazimwa mchana kweupe gari zinatembea hadi 120kphKama ni kweli inabidi LATRA nao usiku wasilale kufatilia mwenendo wa madereva katika mfumo VTS
Wewe wazazi wako walishakufa kabla hujazaliwa kwa hio hapa nabishana na kizazi cha watu mfu au niseme kizazi cha maiti hakijui maana ya uhaiWatakufa wazazi wako waliozaa dubuwasha kama wewe
Nakumbuka enzi hizo mlima Kitonga tulipita usiku, lakini kwenye milima ya Lukumbulu mara nyingi zilipita majira ya mchana sababu ya miinuko ya hatari na kona zake za hapa na pale.Sipatii picha bus linapita kitonga usiku na sehemu kama hizo
Hizo route fupi ulizotaja sidhani hata kama wanahitaji hizi safari za usiku, hapa walengwa ni mikoa ya mbali (Dar - Kigoma, Dar - Mwanza, Dar - Kagera, Dom - Mwanza n.k)Wangeanza kwa baadhi ya route fupi kama Moro - Dar, Arusha - Moshi, Tanga - Dar, Mbeya - Iringa, Lindi - Mtwara, Mwanza - Musoma n.k...
Bado kuna maeneo barabara zake sio rafiki kusafiri usiku, haswa zile ambazo hutumiwa sana na malori...
Serikali kama inatamani kuwe na uchukuzi wa watu kwa masaa 24, ilipaswa iimarishe usafiri wa njia ya reli...
Kipindi cha msimu wa mvua hasa masika, utaratibu huu wa kusafiri masaa 24 usitishwe kwa kuwa kuna baadhi ya njia si salama na hata uono wakati huu huwa hafifu...
Kwa wale wanaopenda kusafiri usiku kwa kutumia magari binafsi, huenda ukawa mwisho wa mimbio sababu kuna uwezekano trafiki wakawa wanakaa barabarani hadi mida ya popo...
Ajali zote zilizosababishwa na bus za Newforce hakuna hata moja iliyotokea usiku , zote ni mchanaKuruhusu usafiri kwa saa 24 ni kutengeneza bomu ajali zitakuwa nyingi
Kwani wanaosafiri mchana hawawezi kupata ajali? Mbona Majirani (Kenya & UG) wanasafiri 24hrs na bado wana matukio machache ya ajali kuliko sisi wasafiri mchana!?Mtakufa km kuku wa kideri subiri takwimu
Hautalazimishwa kusafiri usiku.Sijui waliwaza nini katila hili au kwa kuwa wao wanapanda magari ya serikali pamoja na ndugu zao. Hivi unashuka kitonga na kupita zile kina za Iyovi usiku kisa nini?
Mabasi ambayo kwa ratiba ya sasa yangepita kwenye misitu usiku yataweka ratiba itakayoyawezesha kupit maeneo hayo mchana.Mabasi ya Arusha-Kigoma yajiandae kutekwa kwenye msitu wa malagarasi.
Alafu Kampuni za Coast Line na Kiazi Kitamu mnakabidhi Basi kwa dereva mmoja kuendesha umbali mrefu kiasi hicho, tujiandae kuona mengi.
Very reasonable practiceMabasi ambayo kwa ratiba ya sasa yangepita kwenye misitu usiku yataweka ratiba itakayoyawezesha kupit maeneo hayo mchana.
Mfano iwapo lilikuwa linatoka Arusha alfajiri na kufika Malagarasi saa 5 usiku, sasa yatatoka Arusha jioni au usiku ili yafike Malagarasi asubuhi.
Hii ina.maana kuwa kila kampuni itapanga ratiba inayokwenda kwa.mazingira yanayowasaidia Abiria na kampuni husika.
Trust me broChanzo cha habari tafadhali!
Una uhakika miundombinu ya Barabara za UG & Kenya ni sawa sawa na hii miundombinu ya Barabara za Tz?Kwani wanaosafiri mchana hawawezi kupata ajali? Mbona Majirani (Kenya & UG) wanasafiri 24hrs na bado wana matukio machache ya ajali kuliko sisi wasafiri mchana!?
Safisha ubongo huo utoke nje ya box.
Mentality za kishamba hizi... kama kwamba kukiwa na mwanga ajali huwa hazitokei...Kabisa hawa madereva wakishapiga faru john!