Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

Hivi ulishawahi kufika kwenye huu uwanja na unailewa vizuri 31Bil? Ngoja tuone watabadili nini
Wacha kukurupuka watabadili viti vyote ,pitch inajengwa up ya,Mifumo ya taa,vyumba vya Kubadilisha nguo nk nk

Mwisho unajua bei ya vifaa vya ujenzi lakini?
 
Watanzania ni watu wa kufata upepo

Mechi ya Stars umeme ulipozingua lawama zikatupwa kwa swrikali

Maji yakituama lawama kwa serikali

Leo marekebisho yanataka fanyika wale wale wanalalamika
 
We mbweha... kahaba... usije kufanya nikala ban..
Pumbavu kabisa... Wahed

Ukarabati wa kubadili viti na pitch useme hela zote hizo...

Huna tofauti na Prof Mruma
Uko kwenye mgao
Kiti kimoja ni 60000 haya zindisha na 60,000
Ile system ya TV zaidi ya Bil 1 kuiweka pale.
System ya Ulinzi, electronic system, Camera za uwanja, Taa za uwanjani, Paa la uwanja, mifumo ya maji safi na Taka
Fire systems
 
Mkuu, Nchi yetu ni maskini...
Tunahitaji uwanja Dodoma, Arusha nk

Serikali imepanga kujenga viwanja Dodoma na Arusha..
Kwa Arusha gharama zinafika billioni 40 ..huo ni uwanja umekamilika..

Sasa inahitaji busara na maamuzi mazuri kwa uwanja wa mkapa.. Ambapo ni kubadili pitch kwa sasa..

Mambo ya kuweka paa la juu kama uwanja wa Madrid wapi na wapi?

Unataka kusema wataweka seat kama uwanja wa Real Madrid?

Tuwe wa kweli hatujafikia huko.. Na hiyo Billion 31 ..ukiongeza kidogo unapata uwanja mzuri sana sehemu nyingine.. Ukarabati ufanyike ila hiyo hela ni balaa
 
Wabongo huwa mnapenda kujitia ujuaji sana. Wewe unajua kinachowekwa hapo ni nini? Na kina gharama kiasi gani?
Huwezi kunishawishi kwa hili. Watanzania tunajuana. Kwa miradi ya umma mtu haweki bajeti bila kuzidisha cha juu chake.
 
Wacha kukurupuka watabadili viti vyote ,pitch inajengwa up ya,Mifumo ya taa,vyumba vya Kubadilisha nguo nk nk

Mwisho unajua bei ya vifaa vya ujenzi lakini?
Wewe ndio unakurupuka, umeona wapi list na bei ya vitu vitakavyobadilishwa kama sio kudandia treni kwa mbele? Unajua bei ya vifaa pia?
 
Huwezi kunishawishi kwa hili. Watanzania tunajuana. Kwa miradi ya umma mtu haweki bajeti bila kuzidisha cha juu chake.
Sahihi kabisa,
Hasa kwa utawala huu uliopo.
 
Wewe ndio unakurupuka, umeona wapi list na bei ya vitu vitakavyobadilishwa kama sio kudandia treni kwa mbele? Unajua bei ya vifaa pia?
Toa upumbavu wako hapa,kasome taarifa ya Wizara.

Harafu wewe sio engineer Huwez jua Kila item isipokuwa mojor items tuu.
 
Toa upumbavu wako hapa,kasome taarifa ya Wizara.

Harafu wewe sio engineer Huwez jua Kila item isipokuwa mojor items tuu.
Pumbavu mwenyewe, mjinga sana wewe mbumbumbu. Una elimu gani kwanza? Rudi shule.

Harafu = Halafu
Mojor = Major.
 
Nasikia wanaweka viti vya dhahabu
 
Hili wazo zuri Sana
 
Bil 30 hupati uwanja acha uongo. WATZ mnapenda kulalamika kisenge yaani. Ule uwanja unajua umegharimu Usd ngapi? Ukiipata hiyo ibadilishe kwa pesa ya leo.
 
Kuna mwekezaji mmoja
Kutoa bill 20 TU Ni shughuli pevu
Afu kawaahidi kuwajengea kiwanja[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…