Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Viapo wanakula lakini hata anao wateua huthubutu kusema 'nimekuteua na magari nakupa halafu ushindi ...' Hiyo mahakama Mungu atawaona.
 
Kina mbowe wajiandae kufungwa kwa ile kesi yao.magu katia mfukoni mihimili yote. Yeye kabaki na rimoti
 
Kina mbowe wajiandae kufungwa kwa ile kesi yao.magu katia mfukoni mihimili yote. Yeye kabaki na rimoti
Wacha aitafute nguvu ya Umma kwa nguvu...

ndiko tunakoelekea nadhani....

Kusua sua ktk kujiandikisha ushiriki wa uchaguzi wa serikali za mitaa nchini...kuna somo kubwa ndani yake..... Ni suala la muda..
 
Nilijiandikisha mapema kwa hiari yangu kabla ya hili zoezi la kulazimishana kuanza. Nilifanya hivyo kama raia anayejua na kuthamini wajibu wake. Kwa uamuzi huu wa mahakama ya juu kabisa katika nchi nasikitika kuwa sasa baraka zimetolewa kuwa na mchezo wa kuigiza unaoitwa uchaguzi. Siwezi kushiriki mchezo wa kuigiza. Sitapiga kura.
 
Unapotosha
Mahakama imetafisiri kuna hatua ya kula kiapo ya kutokuwa na chama kabla ya kuteuliwa kuwa msimamizi
Yaani nikuteue Mimi...Nkupe gari + Nkulipe Nshahara..kisha Untangaze Nnpinza ndo Kashinda!!!!!...In Nkulu voiceeee......

Kiapo hapa ni bureeee.....Uzuri Hukumu za nanna hii zinafungua akili...wacha tizitafakari kwa kukuza uelewa..
 
Mbona tulishasema hakuna Chombo kinachoendeshwa kwa matakwa ya sheria bali Utashi wa Jiwe. Period.
 
Hili ni pigo kwa Watanzania, katiba yetu imekanyagwa na majaji.
Hakuna hatua nyingine kisheria ya kuchukua, tumekubali kushindwa kweli??
 
Uko sahihi, bila umma kusimama kwa pamoja huu uhuni utaendelea, lakini kwa dalili ninazoziona nahisi tunaelekea kwenye nguvu ya umma.
Anza wewe uvunjwe miguu ili akili ikurudie. Waulize wapemba enzi za Rais Mkapa mpaka walikimbilia Shimoni Mombasa lakini baada ya muda Seif alipewa marupurupu ya Waziri Kiongozi mstaafu akawasahau kabisa!! Uzuri watz sasa wameshajitambua hawapelekeshwi na nyinyi wanasiasa uchwara. Ukitaka ingia mwenyewe barabarani wakuvunje nyonga!!
 
Tafadhari Bi Fatma Karume &TLS & Co go to the EACJ Tanzania is a member and a signotory to the Treaty of EAC.
The rule of law & democratic protocal!
Don't giveup guys!!
 
Hili ni pigo kwa Watanzania, katiba yetu imekanyagwa na majaji.
Hakuna hatua nyingine kisheria ya kuchukua, tumekubali kushindwa kweli??
Sema pigo kwa mafisadi na mawakala wa mabeberu kama wewe! Pole!
 
Mahaka
Kwa hiyo mahakama iliyobatilisha hukumu ya Sugu juzi ni ya CHADEMA?

Au Sugu siyo mpinzani?
Mahakama kwa sasa wanafanya maamuzi mabaya katika kesi za muhimu zaid, kesi ya sugu ilikwisha isha , ilikuwa haina madhara kwa upande wake hata kidogo. Tutazame lililofanyika kwa sasa , lina mapungufu kiasi gan katika maamuzi
 
Tafadhari Bi Fatma Karume &TLS & Co go to the EACJ Tanzania is a member and a signotory to the Treaty of EAC.
The rule of law & democratic protocal!
Don't giveup guys!!
Mbona huko walishashindwa tayari? Pia kumbuka mahakama ya EAC haina nguvu kihivyo kama unavyofikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…