Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Msaada tafadhari: hivi unaruhusiwa kuchagua shule ngapi maana kwenye sytem naona inaruhusu shule moja
Uki add shule unarudi tena kwenye machaguo upya una add mpaka shule tano ndo una save
 
Vipi Hiki kitu kipo pia kwenye upande wa Afya ?

Anayejua?
 
Wenye connection kali ndo mda wao huuu sasa, hizi kwao ni nyingi sana
mkuu umenchekesha ulivyosema et kwao ni nyingi sana .[emoji3][emoji3] (Manaake anapewa nafasi Kama 4 alaf anaambiwa chagua pakwenda[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habari ya mchana huu wana jukwaa.

Mimi nimefanikiwa kufanya registration ila kuna kipengele nimekwama. Kwenye sehemu ya kuchaguwa mkoa na kituo ambacho unataka ukafanye kazi hapo nimeshindwa.

Nijifungua sehemu ya SELECT REGION, sipati option ya mikoa, kadhalika na sehemu ya SELECT COUNCIL na sehemu ya SELECT HEALTH FACILITY.

Msaada wenu tafadhali.
 
mkuu umenchekesha ulivyosema et kwao ni nyingi sana .[emoji3][emoji3] (Manaake anapewa nafasi Kama 4 alaf anaambiwa chagua pakwenda[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaap tena unabembelezwa pa kwenda unambiwa tukupangie wizarani unasema hapana, unaulizwa Muhimbili, unasema hapana, mpaka kesho yake ndo unatoa majibu

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…