The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Hauna ushahidi unakweza kuuweka hapa?Nimeanzisha uzi kuhusiana na hiki kitu ila Moderator wameufuta sijui maana yake nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna ushahidi unakweza kuuweka hapa?Nimeanzisha uzi kuhusiana na hiki kitu ila Moderator wameufuta sijui maana yake nini
Tetesi sio lazima iwe na ushahidi wa moja kwa moja ila kama ule uzi ungendelea kuwepo hewani ukweli wote ungejulikana kwa sababu watu wangefunguka kila kitu. Alafu kama ni uongo si tamisemi wangekuja kukanusha? Wao kwanini waufute?Hauna ushahidi unakweza kuuweka hapa?
Ndiyo tatizo la tetesi kwamba hazina ushahidi na wengi wanazusha tu ili kujaribu kupata ukweli fulani au kuwapanikisha watu wanaosubiri hizo kaziTetesi sio lazima iwe na ushahidi wa moja kwa moja ila kama ule uzi ungendelea kuwepo hewani ukweli wote ungejulikana kwa sababu watu wangefunguka kila kitu. Alafu kama ni uongo si tamisemi wangekuja kukanusha? Wao kwanini waufute?
Yatajirudia vp na taarfa zte wanazo kwny database na wana command tu, uliofanyika awal n uzembe tu jina moja litajirudia vp kla page na kuna ma IT. hakuna jipya la kutuma maomb upya ikiwa taarfa zte wanazo za walimuSasa wakitumia database si makosa kama yale ya mwaka jana yatajirudia tena?
Wiki iliyopita walimu wakuu na waratibu elimu walithibitisha majina na kutumwa wilayani na mikoani kwa ajira.Kwa nn unahis hivo na wew mkuu
Hayo majina yana Rudi Lin watu kupata barua?Wiki iliyopita walimu wakuu na waratibu elimu walithibitisha majina na kutumwa wilayani na mikoani kwa ajira.
Malipo ya mishahara awamu ya kwanza inahusiana vp na batch 2 kuchelewa!!?? Adi kunatolewa kibal cha ajira elf 13 c tayar kuna fungu limetengwahawawezi kutoa majina mapya ilihali waliopangiwa mwanzo mpk sasa hawajalipwa stahiki zao fedha za kujikimu na mshahara kwa halmashauri nyingi
Sahihi kabisa...Siasa zinagubika mambo mengi ya kitaalumahawawezi kutoa majina mapya ilihali waliopangiwa mwanzo mpk sasa hawajalipwa stahiki zao fedha za kujikimu na mshahara kwa halmashauri nyingi
😂😂😂😂Mna vichwa vigumu Sana , PM kasema zishatoka more than two weeks sasa na watu wamepangiwa vituo au hukuelewa lugha aliyotumia mpak aongee kipare ??!
View attachment 1702364
We hujielewi kweli.... Nenda kalime njegereWatuweke hayo majina kwenye website zao waliyowapangia kwenye awamu ya pili. Ili je ni kweli au siyo kweli. Hatuna hiyana na kusambazwa but tuwekewe tu hayo majina, furaha yetu tuone hayo majina🤣🤣🤣
Mkuu umetengeneza soko la kuziuzia? Mkuu umenipa shamba la kulimia hizo njegere?We hujielew kweli.... Nenda kalime njegere
Wakati mwingine ni bora ukae kimya tu!Hasa kwa wale wenye kimbele mbele cha kuichagua chama cha mboga mboga