Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

Viongozi wangu ningewaomba tuongeze ufanisi katika kufanya kazi tulizoaminiwa kuchukulia poa suala kama la ajira kwa vijana ni sawa na kucheza na maisha ya baadhi ya watu ambao wengi wao ndio hao wanyonge tunaojipambanua kuwapigania
 
Wanavyopenda Front page wangeshatoa hayo majina haraka sana.Ukiona kimya ujue ni changa la macho hilo,hakuna cha ajira 5000 wala nini!
 
Hivi wanaotakiwa kuajiriwa nchi hii ni walimu tu, maana kuna idara nyingi kuna upungufu mkubwa wa watumishi lakini kila kukicha ni siasa za ajira za walimu........
 
Acha uongo ww hakuna mtu aliyepangiwa hvi kwa serikali hii ya mbwembwe tangu lini ikafanya inshu kama hizo bila wandishi wa habari.
Tuamini la kwako kama Hsia au la Prime minister kama official report ?? Kilichopo ni kwamba ajira 5000 zishatoka na amesema zitatangazwa zingine kulingana na bajeti na uhitaji. No comment, no compromise hutaki anadamana
 
Nilivyo elewa ajira 12,000 ajira 8,000 zimesha tangazwa na kupata waalimu kati ya 8,000 waliosambazwa vituoni ni 5,000 (ndo anaowasemea) bado 3,000

Hakuna ajira mpya bali wamesambaza waalimu 5,000 kati ya 8,000 waliochaguliwa
 
Tuamini la kwako kama Hsia au la Prime minister kama official report ?? Kilichopo ni kwamba ajira 5000 zishatoka na amesema zitatangazwa zingine kulingana na bajeti na uhitaji .... No comment, no compromis
Pambana kuhubiri uongo
 
Hivi wanaotakiwa kuajiriwa nchi hii ni walimu tu, maana kuna idara nyingi kuna upungufu mkubwa wa watumishi lakini kila kukicha ni siasa za ajira za walimu........
Acha roho mbaya na walimu wewe.
Kwani ajira za fani zingine zimetangazwa lini na Muungu wenu?
 
Waziri wa Tamisemi na washirika wako nafikiri mpo humu JF

Mada inajieleza hapo.

Rais alitangaza ajira za walimu 13000, Tamisemi mkatoa ajira kama 8000 hivi zikabaki 5000

Wiki kadhaa nyuma rais akasema February ajira za walimu 5000 zitatolewa,mwezi February ndo huu unazidi kwisha vijana hawaoni dalili wala kusikia harufu za hizo ajira.

Vipi zitatolewa kweli au ndo tayari mmeshahadaa vijana?
 
Waziri mkuu alisema zishatoka , now wanasubiri vibari vipya kulingana na bajeti na uhitaji
 
Majaliwa nae walitangaza kupitia platform gani hizo ajira hahaha
 
Majaliwa nae walitangaza kupitia platform gani hizo ajira hahaha
Walichukua toka kwenye maombi Yale Yale ya ajira 13000, sa hv usitegemee watakwambia tuma maombi🤣 kupitia sjui wap wap ...now wanachomoa kimya kimya Tu toka kwenye Yale maombi ya mwanzo 😋😋
 
Malipo ya mishahara awamu ya kwanza inahusiana vp na batch 2 kuchelewa!!?? Adi kunatolewa kibal cha ajira elf 13 c tayar kuna fungu limetengwa
Things are so different brother,...siasa ni maneno tu, utekelezaji ni mgumu sana
 
Back
Top Bottom