Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri bomu la waziri mkuuUkiminywa usije kulalamika,mliyemtuma kala matapishi yake,tunajiandaa kumg'oa
Sijui ni uchovu?Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.
Ufafanuzi ni uungwana
View attachment 2066244
Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Naona unakuja kwa speed sana!!1 Nilikutaka utaje wapi nili-span, uikashindwa kutaja na nikaamua kuachana na wewe!! Usi-force mjadala na mtu ambae alishakupuuza!!Kuna yule jamaa yenu jana, nadhani Mr BonT alisema, wakati akidhani anarekebisha kosa fulani hapa JF, kwamba ^hajakosea^ bali ^ame-overlook!^
Mimi mwenyewe nilishakuona mpuuzi kwa sababu unakwepa mjadala ukidai eti nakupotezea muda. Wi-Fi unayoiba ofisini kwenu nakuungia mie? Watch out!Naona unakuja kwa speed sana!!1 Nilikutaka utaje wapi nili-span, uikashindwa kutaja na nikaamua kuachana na wewe!! Usi-force mjadala na mtu ambae alishakupuuza!!
Acha tuu maana kama anasoma millioni na billion ziko tofauti sana.Swali fikichi, fikishi, na fikirishi: ^Amekoseshwa mangapi?^