Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.

Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.

Ufafanuzi ni uungwana

View attachment 2066244

Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Ndiyo wamehalibu kabisa,Nafuu wangekaa kimya maana tayali tulikuwa tumesha sahau,

Dola milioni elfu sita?
Kwanini isiwe bilioni 600?
 
Sasa imekua kawaida kwa taarifa za ikulu kukosewa. Nashauri kitengo Cha Mawasiliano, Ikulu kiliangalie hili. Ni ishara ya kukosa umakini(smartness).
 
Angetamka hiyo pale UN wale hawajui Mambo ya ufafanuzi na mngetakiwa kulipa madeni yote 24hrs na kuondolewa kwenye list ya kusaidiwa misaada msichukulie easy easy tu
 
Ikipitiwa na watu wawili au watatu kabla haijafika kwa rais lazima typo kama hizo zitagunduliwa mapema....
 
Episode inayofuata ni kumsikiza Ndugai leo
 
Sasa kuna watu humu kwavile akili zao ni ndogo wako kwenye kundi la mapambio na vigelegele walikuja kutetea ule upotoshaji.ila sasa muda umewaumbua kwasababu wahusika ni watu waungwana na wanajua uungwana ni vitendo sio tambo na mapambio yasiyo na msingi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sio kazi ya serikali kukwambia kila source ya kipato chake acha ujinga na utoto.
Serikali inatoa mamlaka kutoka kwa wananchi, hivyo wananchi ambao ndio wameiajiri serikali wana haki ya kujua source mapato. Maana tozo unawatoza wao na Kodi wanalipa wao. Serikali mtumishi wa wananchi.
 
Yaani wewe The Sunk Cost Fallacy, ni mtu mpumbavu sijawahi kuona. Yaani ulivyokomaa kwamba hotuba ilikuwa ni sahihi, leo unaleta upumbavu wako hapa ukidai waliohoji usahihi wa hotuba walikuwa ni wajinga wa Chadema.

Huna aibu mbwa wewe sijui vitakataka kama wewe viliingiaje humu JF...it is pathetic!

Hebu angalia hapa ulivyomjibu MkamaP









na hapa anagalia ulivyomjibu Somi


Yaani kwako wewe mpuuzi dola bilioni 6253 ni sawa na shilingi trilioni 14!. UKiambiwa ni kosa unakaza shingo utafikiri chatu kameza faru!
Hao ni wale fisi wanaosifia kila kitu hadi ujinga mradi tu kinatoka kwa mtu mwenye maslahi naye.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sijazidi upumbavu wako,nilisema figure ni dola mil.6250 na sio billion,pia nikasema hiyo lugha huwa tunaitumia na nikaweka na mfano sasa upupu wako usiniletee hapa.
Upupu wako nikutaka kumlisha rais maneno.kwenye hotuba ya rais kulikua na Bilion sasa wewe hiyo milion uliitoa wapi au ulikua na mamlaka gani yakumsahihisha rais.Ukatukana hadi chadema kumbe wewe ndiye kiazi kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ufafanuzi wa kosa kama hili ulitakiwa utolewe haraka sana. Hii ingepunguza sintofahamu mapema tuu.
 
Back
Top Bottom