Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Ni jambo jema marekebisho yamefanyika . dola milioni 6253 ni akiba kubwa kuliko miaka ya nyuma inamaanisha uchumi umekuwa .
 
Sijui ni uchovu?
Sijui ni kuwa na mambo mengi?
Sijui ni kupitiwa?
Sijui ni makosa ya kawaida ya kibinadamu?
Ama pengine ni kupotoshwa kwa makusudi..
 
Kuna yule jamaa yenu jana, nadhani Mr BonT alisema, wakati akidhani anarekebisha kosa fulani hapa JF, kwamba ^hajakosea^ bali ^ame-overlook!^
Naona unakuja kwa speed sana!!1 Nilikutaka utaje wapi nili-span, uikashindwa kutaja na nikaamua kuachana na wewe!! Usi-force mjadala na mtu ambae alishakupuuza!!
 
Naona unakuja kwa speed sana!!1 Nilikutaka utaje wapi nili-span, uikashindwa kutaja na nikaamua kuachana na wewe!! Usi-force mjadala na mtu ambae alishakupuuza!!
Mimi mwenyewe nilishakuona mpuuzi kwa sababu unakwepa mjadala ukidai eti nakupotezea muda. Wi-Fi unayoiba ofisini kwenu nakuungia mie? Watch out!
 
Inapendeza...

Rais anayesikiliza wanachi... Haswa wa JF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…