Ndiyo shida ya uchaguzi wa 2020, akili ndogo iliyojaa jengoni na hazina Dodoma ndiyo imetufikisha hapaWakati mnapeleka muswada bungeni kwani mliunda kamati ya kufanya upembuzi yakinifu kuhusu tozo? Sasa mnaunda kamati ya kazi gani wakati tayari mnazo evidence za kutosha kabisa kwamba wananchi hawataki tozo maana ni mzigo kwao!
Kuna evidence gani zaidi ya hii?👇
View attachment 2355488
Mategemeo yalikuwa kupata trilioni 1.25 lakini iliyopatikana ni bilioni 360 tuu. Hakuna evidence nzuri kama hii, hiyo kamati italeta majibu ya kisiasa tuu kama yale ya Twaweza..
HATUTAKI TOZO.
Wakati mnapeleka muswada bungeni kwani mliunda kamati ya kufanya upembuzi yakinifu kuhusu tozo? Sasa mnaunda kamati ya kazi gani wakati tayari mnazo evidence za kutosha kabisa kwamba wananchi hawataki tozo maana ni mzigo kwao!
Kuna evidence gani zaidi ya hii?👇
View attachment 2355488
Mategemeo yalikuwa kupata trilioni 1.25 lakini iliyopatikana ni bilioni 360 tuu. Hakuna evidence nzuri kama hii, hiyo kamati italeta majibu ya kisiasa tuu kama yale ya Twaweza..
HATUTAKI TOZO.
Kwani zililetwa na Serikali ya nani?Sawa
Tozo ni kodi mara mbili. Mfanyakazi wa kima cha chini anafanya kazi anapokea ka-mshahara kake, wazazi wake kijijini wanaumwa, anapowatumia fedha zinakatwa! Upande wa pili watawala wanafanya matumizi ya kifahari na ufisadi kwa kwenda mbele huku wakizidi kukamua maskini.Hatuitaki
Hivi kuna mtu anaona umuhimu wa hawa wabunge wetu?Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imekutana na Umoja wa Makampuni ya Huduma za Simu Tanzania (TAMNOA), kujadiliana Changamoto na faida zilizopatikana kwa watoa huduma hao baada ya utekelezaji wa tozo zilizokusanywa na Serikali.
"Sote tumekubaliana na maelekezo tuliyopata kutoka serikalini ni kuwa Rais Samia ametuagiza tuangalie upya tozo hii na kuhakikisha kuwa tozo hii inabaki kuwa rafiki na haiwi mzigo kwa Watanzania" alisema Mafuru.
Serikali ya Rais Samia imeendelea kuwa sikivu na kuchukua hatua juu ya malalamiko ya wananchi hususani kwenye suala la Tozo, Lengo ni kuona watanzania wanaendelea kufanya biashara nchini na kuchangia pato la Taifa. Tangu kuanza kwa utekelezaji wa tozo hizo tayari serikali ilipinguza 30% kwenye tozo za simu zilizokusanywa katika mwaka 2021/2022
Nielekeze jinsi ya kukopa tigo ninayo laini ila sina matumizi nayoNimeamua niwadhurumu Tigo, Tsh laki mbili wanayonidai,nitavunja sim card kwakuwa sina watu wa kunitafuta kwa namba hiyo