Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kichwa cha habari ... nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri?
Ingia menu ya Tigopesa,huduma za kifedha,mikopo,TigonivusheNielekeze jinsi ya kukopa tigo ninayo laini ila sina matumizi nayo
Wanaanzia kukopa kiasi gan mkuuIngia menu ya Tigopesa,huduma za kifedha,mikopo,Tigonivushe
Ni mwendo wa kutengeneza tatizo kisha mnalitatua ccm hamna akiliSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imekutana na Umoja wa Makampuni ya Huduma za Simu Tanzania (TAMNOA), kujadiliana Changamoto na faida zilizopatikana kwa watoa huduma hao baada ya utekelezaji wa tozo zilizokusanywa na Serikali.
"Sote tumekubaliana na maelekezo tuliyopata kutoka serikalini ni kuwa Rais Samia ametuagiza tuangalie upya tozo hii na kuhakikisha kuwa tozo hii inabaki kuwa rafiki na haiwi mzigo kwa Watanzania" alisema Mafuru.
Serikali ya Rais Samia imeendelea kuwa sikivu na kuchukua hatua juu ya malalamiko ya wananchi hususani kwenye suala la Tozo, Lengo ni kuona watanzania wanaendelea kufanya biashara nchini na kuchangia pato la Taifa. Tangu kuanza kwa utekelezaji wa tozo hizo tayari serikali ilipinguza 30% kwenye tozo za simu zilizokusanywa katika mwaka 2021/2022
[emoji38][emoji38][emoji38]Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imekutana na Umoja wa Makampuni ya Huduma za Simu Tanzania (TAMNOA), kujadiliana Changamoto na faida zilizopatikana kwa watoa huduma hao baada ya utekelezaji wa tozo zilizokusanywa na Serikali.
"Sote tumekubaliana na maelekezo tuliyopata kutoka serikalini ni kuwa Rais Samia ametuagiza tuangalie upya tozo hii na kuhakikisha kuwa tozo hii inabaki kuwa rafiki na haiwi mzigo kwa Watanzania" alisema Mafuru.
Serikali ya Rais Samia imeendelea kuwa sikivu na kuchukua hatua juu ya malalamiko ya wananchi hususani kwenye suala la Tozo, Lengo ni kuona watanzania wanaendelea kufanya biashara nchini na kuchangia pato la Taifa. Tangu kuanza kwa utekelezaji wa tozo hizo tayari serikali ilipinguza 30% kwenye tozo za simu zilizokusanywa katika mwaka 2021/2022
Wabunge wasaliti kwa rupia na waasi wanaothamini fedha kuliko utu wa watu hao hawafai hata kidogo. Sijui kwanini wanaendelea kuwepo na wanamwakilisha nani bungeni wakati hawaitishi wala vikao na wananchi kukusanya maoni yao moja kwa moja badala ya kutumia chawa wanafikiKama kichwa cha habari ... nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri?
Madini aliyotema Kitwanga na Assad yakifanyiwa kazi Tozo fyekeleambali[emoji38][emoji38][emoji38]
Hizo tu,bora wewe zinapinduka hadi siku nyingine.Tatizo sio tu Tozo, nikiunga kifurushi cha mbs 450 za Tigo saa kumi na mbili jioni leo nikatumia WhatsApp na JF tu usiku,kesho asubuhi Tigo wananitext mb zitaisha muda wake jioni hiyo