Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

Kama kichwa cha habari ... nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri?

Wanapopitia upya tozo zinasimama kwanza au mwendo ni kasi Ile Ile?
 
Kama kichwa cha habari, nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu.

Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri?
Toka lini mbumbumbu akauliza swali darasani.., kama siyo kipiga usingiz na makofi.
 
Back
Top Bottom