Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

Kama kichwa cha habari, nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu.

Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri?
 
Genge LA majizi.

DOUBLE TAXATION.

Samia ulisoma Master's ya uchumi India ila hujui maana ya DOUBLE TAXATION?!
 
Majinga sana nyie. Alivyoleta Tozo mlilipuka kusifu kuwa Tozo ni lazima na ni kitu kizuri, hali imebuma mnageukla mnaanza kusifu sasa kuwa serekali ni sikivu inataka kupunguza Tozo.

Mnakera sana hamjijui tu
 
Ni mwendo wa kutengeneza tatizo kisha mnalitatua ccm hamna akili
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, nchi ni ya mtu (rais), wengine ni tissue papers tu.

Jiwe Aliwahi kujitapa hadharani kuwa yeye ni mhimili uliojichimbia chini zaidi.
 
Kama kichwa cha habari ... nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri?
Wabunge wasaliti kwa rupia na waasi wanaothamini fedha kuliko utu wa watu hao hawafai hata kidogo. Sijui kwanini wanaendelea kuwepo na wanamwakilisha nani bungeni wakati hawaitishi wala vikao na wananchi kukusanya maoni yao moja kwa moja badala ya kutumia chawa wanafiki
 
siasa ni kazi kama kazi zingine siasa ni ajira kama ajira zingine hivyo mwanasiasa yupo pale kutetea maslahi yake binafsi akijua kabisa yeye hatoweza taabika tabu unazozipata mwananchi kwahyo swala la msingi jitaftie maisha yako kimya kimya
 
Wanapitia upya kuuangalia nini?!

Hiyo ni delay tactic tu, hakuna lolote!!

CCM wanajua kwamba Watanzania ni watu wa matukio! Wanajua hv sasa kila kona ni issue za tozo but it's a matter of time kabla hatujasahau na kuamua kwenye jambo lingine!!

So, hilo suala la kupitia upya ni kuwafanya hv sasa Wadanganyika waamini serikali inapitia upya coz' wanafahamu wakati Serikali "inapitia upya" huku raia watakuwa wanaanza kusahau taratibu!!

Nawakumbusha tu kwamba, baada ya kuenea taarifa za watu kupiga mapene BoT at the time Magu anapumulia mashine, SSH akajifanya kuunda tume kuchunguza!!

Anyway, labda ripoti ilishatoka na wahusika kushughulikiwa lakini mitaa ninayoishi mimi bado hadi kesho hiyo ripoti hatujaipata!!
 
Unategeneza na kuuda tatizo hafu unaaza kulitatua mwenyewe, siasa na uongozi wa namna hii tunauita kitaalam BHUSEJI BHUTALE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…