B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 14, 2022 #161 sem2708 said: Kama kichwa cha habari ... nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri? Click to expand... Wanapopitia upya tozo zinasimama kwanza au mwendo ni kasi Ile Ile?
sem2708 said: Kama kichwa cha habari ... nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri? Click to expand... Wanapopitia upya tozo zinasimama kwanza au mwendo ni kasi Ile Ile?
Yenga08 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 458 Reaction score 894 Sep 14, 2022 #162 sem2708 said: Kama kichwa cha habari, nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri? Click to expand... Toka lini mbumbumbu akauliza swali darasani.., kama siyo kipiga usingiz na makofi.
sem2708 said: Kama kichwa cha habari, nina maswali juu wa uwakilishi wa wabunge wetu. Je kweli wanaisaidia serikali kwa kuishauri vizuri? Click to expand... Toka lini mbumbumbu akauliza swali darasani.., kama siyo kipiga usingiz na makofi.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Sep 21, 2022 #163 Ngalikihinja said: Halafu kuna mijitu, TOZO zikifutwa utaisikia ikisema SERIKALI YETU NI SIKIVU..! Unaweza Dhani TOZO zimeletwa na Serikali nyingine. Click to expand... Niliwaambieni, mwangalieni huyu hapa Njia mbadala ya kufidia tozo
Ngalikihinja said: Halafu kuna mijitu, TOZO zikifutwa utaisikia ikisema SERIKALI YETU NI SIKIVU..! Unaweza Dhani TOZO zimeletwa na Serikali nyingine. Click to expand... Niliwaambieni, mwangalieni huyu hapa Njia mbadala ya kufidia tozo