Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

Angeyafunga UHURU na mzalendo pia kichwa chako cha habari kisingekuwa na maana
 
hoja inapingwa kwa hoja c matusi jaman mada ni nzuri ila kuna wachangiaji hewa
 
Asante mama umeonesha kujali human rights kwa vitendo. Hivi jpm angekuwa bado anaongoza hata kwenda chooni kunya so tungekuwa tunaomba ruhusa serikalini! Mana udictator ulikuwa umeota mizizi.

Mi naona mama anatufuta machozi Sana. Hakiyamungu juzi Nape alipo yafungua magazeti Yale nilililia kwa furaha na kumshukuru mungu kwa kifo Cha jpm Mana ametuondolea laana!!!
Kabla ya Magufuli ayo magazeti hayakuwah kufunguwa huko nyuma? Unakumbuka gazeti lililo kamtajabaliemteka Dkt Ulimboka enzi za Jakaya? Liliachwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mama umeonesha kujali human rights kwa vitendo. Hivi jpm angekuwa bado anaongoza hata kwenda chooni kunya so tungekuwa tunaomba ruhusa serikalini! Mana udictator ulikuwa umeota mizizi.

Mi naona mama anatufuta machozi Sana. Hakiyamungu juzi Nape alipo yafungua magazeti Yale nilililia kwa furaha na kumshukuru mungu kwa kifo Cha jpm Mana ametuondolea laana!!!
JPM hawezi kuisha midomoni mwa wadhalimu lazima wataje na kukejeli jina lake na uongozi wake.kwasababu hizi
1) Alikwapua pesa za mafisadi waliopata pesa kwa ujanjaujanja na akazifanyia maendeleo

2) Alidhibiti vikundi vya kigaidi vilivyojipanga kuudhoofisha utawala wake huko kibiti,ruaha mbuyuni na mtwara na aliwashughulikia kweikweli

3)Aliwatumbua makanjanja waliokuwa maofisini na vyeti feki

4) Alibana mitandao ya wapiga dili na biashara zao zilisambaratika na wakawa hoi kiuchumi na mapapa waliisha mjini

5) Aliwatoa mandumila kiwili ndani ya chama na serikali wakawa benchi wanarandaranda hawana cha kufanya

Mwisho alijijengea heshima kimataifa especially Africa akawa Icon kwa upande wa maendeleo Eg SGR,bwawa la nyerere,ikulu chamwino,ununuzi wa ndege,ujenzi hospital ngazi ya Taifa hadi kata,mashule pamoja na madawati na Mapambano dhidi ya corona ambapo alisema tutaidhi nao kama magonjwa mengine tusiogope na hakika kwa sasa tunaishi nao kama alivyosema.
Kwasasa wapinzani wake hoja hawana wamebaki kumkejeli na kumtukana na kutafuta cheap popularity kama
1) kufunguliwa magazeti ambapo hata kabla ya JPM kuna magazeti yalifungiwa kama mwanahalisi hakuna jipya
2)wamachinga walifukuzwa na sasa wanaitwa na kupewa mitaji
3)wanafungua miradi iliyoazishwa na JPM hakuna jipya
Kwa haya lazima wateseke na kulitaja jina la JPM milele na mzimu wa JPM utawatesa sanaa kaawachia kazi kubwa sana ambayo inawatesa na wameshindwa kuvumilia na kuongea hadharani
 
Kwa sasa magazeti yanajifunga menyewe, hakuna biashara
 
Jpma mwenyewe alikuwa mpigaji. Sema aliwabana wafanyabiashara na akabaki anajinufaisha yeye tu wauaji wenzie akina makonda. Nani mwenye ushahidi kuwa walikuwa ni wapiga fili. Kwani jpm alikuwa mahakama ya kumuona mtu ni mpiga dili. Au jpm ndiyo mahakama yenyewe. Shida yako ni akiri finyu tu
 
JPM hawezi kuisha midomoni mwa wadhalimu lazima wataje na kukejeli jina lake na uongozi wake.kwasababu hizi
1) Alikwapua pesa za mafisadi waliopata pesa kwa ujanjaujanja na akazifanyia maendeleo

2) Alidhibiti vikundi vya kigaidi vilivyojipanga kuudhoofisha utawala wake huko kibiti,ruaha mbuyuni na mtwara na aliwashughulikia kweikweli

3)Aliwatumbua makanjanja waliokuwa maofisini na vyeti feki

4) Alibana mitandao ya wapiga dili na biashara zao zilisambaratika na wakawa hoi kiuchumi na mapapa waliisha mjini

5) Aliwatoa mandumila kiwili ndani ya chama na serikali wakawa benchi wanarandaranda hawana cha kufanya

Mwisho alijijengea heshima kimataifa especially Africa akawa Icon kwa upande wa maendeleo Eg SGR,bwawa la nyerere,ikulu chamwino,ununuzi wa ndege,ujenzi hospital ngazi ya Taifa hadi kata,mashule pamoja na madawati na Mapambano dhidi ya corona ambapo alisema tutaidhi nao kama magonjwa mengine tusiogope na hakika kwa sasa tunaishi nao kama alivyosema.
Kwasasa wapinzani wake hoja hawana wamebaki kumkejeli na kumtukana na kutafuta cheap popularity kama
1) kufunguliwa magazeti ambapo hata kabla ya JPM kuna magazeti yalifungiwa kama mwanahalisi hakuna jipya
2)wamachinga walifukuzwa na sasa wanaitwa na kupewa mitaji
3)wanafungua miradi iliyoazishwa na JPM hakuna jipya
Kwa haya lazima wateseke na kulitaja jina la JPM milele na mzimu wa JPM utawatesa sanaa kaawachia kazi kubwa sana ambayo inawatesa na wameshindwa kuvumilia na kuongea hadharani
Kama walikuwa wapiga fili mbona kila kesi ikienda mahakaninserikali unapigwa mweleka. Sema alikuwa mkurupukaji tu ndo Mana mama alipoingia mahakani kesi za jpm zote za kuwabambika watu hazina ushahidi amezifutq zote eg rugemalila na mwenzake. Alitutia hadara ya kukamata meli kisa akili yake finyu.

Hata hao aliodai vyeti feki Ni uzushi mahakama ndo yenye mandate ya kuaidentify ni vyeti feki au lah. Asingekufa fasta walikuwa wnajipanga kwenda mahakani na I'm sure serikali ingeangukia pua chini ya nguli wa sheria Tundu lisu ambaye mpaka kalamagamba anamuogopa Kama ukoma jpm akaona Bora amchape risasi tu
 
Mtu keshakufa kaoza lakini bado unateseka.
Ukifa matendo yako yanaambatana na wewe hayafi ng'oo kasome vizur maandiko. Usiwapangie watu kumkumbuka mwenda motoni kwa matendo yake aliyo yafanya mwenyewe bila kulazimishwa na mtu na kwa hiari yake mwenyewe. Mwenzie Mzee wa Lupaso alikiri kufanya makosa huo ndio utu lakini yeye akajifanya kujiita jiwe. Na hilo jiwe hatulioni mpaka Sasa tuache kiburi Cha Madaraka na kiburi Cha uzima.
 
Mjomba Magu alikuwa hana simile labda inatokana na historia yake huko nyuma.
Lakini magazeti yalifungiwa kwa sheria tulizotunga bungeni na watu wale wale walioyafungua leo.Sheria ziangaliwe upya kwanza.
Pammoja na kuyafungulia,biashara ya kuuza magezeti imedolola sana.Kubenea kasema wanahitaji serikali iwawezeshe.
Labda vijijini ndo wananunua magazeti ukiwa na Jamii forum ni gazeti tosha.
 
Ukifa matendo yako yanaambatana na wewe hayafi ng'oo kasome vizur maandiko. Usiwapangie watu kumkumbuka mwenda motoni kwa matendo yake aliyo yafanya mwenyewe bila kulazimishwa na mtu na kwa hiari yake mwenyewe. Mwenzie Mzee wa Lupaso alikiri kufanya makosa huo ndio utu lakini yeye akajifanya kujiita jiwe. Na hilo jiwe hatulioni mpaka Sasa tuache kiburi Cha Madaraka na kiburi Cha uzima.
True matendo yako ukufuata.Pili huwezi tenda makosa ya kimakusudi tena ya kujirudia kwa kiburi tu huku ukionywa na viongozi wa dini wanaokutakia mema wakiwa kama wajumbe wa Mwenyezi Mungu wewe unashupaza shingo kwa kuwakamata,kuwabambika kesi,kuwatukana kuwananga.Halafu Mungu akusamehe.Kila mwanadamu uchagua upande aupendao kuwa akimaliza siku zake.
Sijui nani huwa anawadanganya kwamba unaweza ukawa against nature.
 
Wanajua jamaa alikuwa mshenzi sana Ila wanataka kuedit hiyo sehemu na hatusahau ukatili wake huyu dikteta uchwara. Cheki hapo anatafuna mahindi Kama ngedere
JPM alikuwa mwoga, mwizi na MWONGO hivyo basi asingeweza ku survive na vyombo huru vya habari.
 
Asante mama umeonesha kujali human rights kwa vitendo. Hivi jpm angekuwa bado anaongoza hata kwenda chooni kunya so tungekuwa tunaomba ruhusa serikalini! Mana udictator ulikuwa umeota mizizi.

Mi naona mama anatufuta machozi Sana. Hakiyamungu juzi Nape alipo yafungua magazeti Yale nilililia kwa furaha na kumshukuru mungu kwa kifo Cha jpm Mana ametuondolea laana!!!

Fungía fungía ya magazeti hasa MwanaHalisi na Raí haijaanza utawala wa Magufuli bali tangu enzi za Kikwete,,, yalikuwa yakifungiwa kila mara pale yanapokiuka kanuni na sheria

Enzi za Jakaya ilifika hatua mpaka bw Said Kubenea mhariri wa gazeti la MwanaHalisi kumwagiwa tindikali ikapelekea ulemavu wa macho

Enzi za The Late BW Mkapa, Jenerali Ulimwengu nae enzi hizo akiandikia gazeti Rai alishaliponza gazeti hili likafungiwa na yeye akajikuta hatiani mikononi mwa dola kwa tuhuma za kwamba si raia wa Tz

Kwahyo chombo chochote cha habari kikikiuka kanuni na sheria basi hufungiwa,, media ni industry kubwa na nyeti ikitumiwa ndivyo sivyo huweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi
 
Kwa hiyo kanini ni kumsifia rais au siyo
 
Sindano inaum
Hizi mada za Magufuli Magufuli mumuache Apumzike basi hatupo naye
Hawezi jibu chochote
kingine Hatamkimchukia haita wasaidia kitu Hayupo
Sindano inauma eehh wacha ikuingie mazima, sasa inaonekana kwa alivyokuwa yule ma dokta sio rahisi kumwambia ana dedi inaelekea walisubiri dk ya mwisho kabisaaaaaaaa ye mwenyewe aone aah hii sasa bye bye mwiteni padri yule niliyemyang'anya paspoti mrudishieni passort yake halafu aje aniongoze sala ya Toba.

Alikuwa anapenda kupigwa picha amepiga magoti ktk mwonekano kwamba yuko kwenye " a deep spiritual conversation/ prayer with God the Almighty" kumbe zuga tu.

Binadamu mwenzake anapigwa risasi kibao maarufuku kumwombea.

Anajidai anapendwa lkn siku ya uchaguzi ana zima mitandao wiki nzima.

Kumbe Mungu hii nchi anaipenda sana akamua kuondoa tatizo linalowaketa watu wake aliowaumba.

Sasa hivi wako wote na Dkt Mwele, Ben, Mangosi, Sharrif, Mfugale, Kijazi n.k kati ya hao wewe unadhani nani anapumzika kwa Amani ?! Kudadeki
 
Magufuli siyo wa kwanza kuyafungia magazeti yale. Yale magazeti majeuri.
 
Asante mama umeonesha kujali human rights kwa vitendo. Hivi jpm angekuwa bado anaongoza hata kwenda chooni kunya so tungekuwa tunaomba ruhusa serikalini! Mana udictator ulikuwa umeota mizizi.

Mi naona mama anatufuta machozi Sana. Hakiyamungu juzi Nape alipo yafungua magazeti Yale nilililia kwa furaha na kumshukuru mungu kwa kifo Cha jpm Mana ametuondolea laana!!!
Ulevi wa madaraka.
 
Hizi mada za Magufuli Magufuli mumuache Apumzike basi hatupo naye
Hawezi jibu chochote
kingine Hatamkimchukia haita wasaidia kitu Hayupo
Hakuna cha kupumzika wala nini! Atapondwa mpaka nasi tutakapo iaga dunia. Watakaobaki wataendelea kumponda. Vizazi kwa vizazi. Ni matunda ya alichopanda yeye mwenyewe.
 
Hizi mada za Magufuli Magufuli mumuache Apumzike basi hatupo naye
Hawezi jibu chochote
kingine Hatamkimchukia haita wasaidia kitu Hayupo
Nani amechukia?? kusema kitu siyo chuki!! wee ndo una chuki ya mfu!! kibinadamu tu. adhabu zooote hizo alizo nazo?? mtu hakuwahi kutubu!!!...richa ya kwenda kanisani....ni wakuonea huruma tu yule,

aliteseka Duniani make ilikuwa afe kwa sumu!! Mungu akasimama ili atubu bidae lkn wapi??? mwee .. kwanza jua kuwa yule kure ahera hapumziki, ni kubeba mawe na kuchimba visiki!!!! ....ni wakuonea huruma tu!

km mie muongo kata ticket ukamuone utashangaa!! .......adhabu anazo pata kule ahera!! siku hizi tech. imeongezeka unaweza kwenda huko na kurudi! Milango ya kwenda kuzimu ipo TZ hii, surrender bridge ikiwa mojawapo!

sema tukuelekeze pa kupitia......Hkn mtu aliye fanikiwa kwa kumtoa mwenzake roho!! kamwe!!
 
Back
Top Bottom