Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

Tatizo sheria zetu, magazeti yaneanza kufungiwa kitambo...! Wasipobadilisha sheria ni suala la mda tu watafungiwa tena.
 
Asante mama umeonesha kujali human rights kwa vitendo. Hivi jpm angekuwa bado anaongoza hata kwenda chooni kunya so tungekuwa tunaomba ruhusa serikalini! Mana udictator ulikuwa umeota mizizi.

Mi naona mama anatufuta machozi Sana. Hakiyamungu juzi Nape alipo yafungua magazeti Yale nilililia kwa furaha na kumshukuru mungu kwa kifo Cha jpm Mana ametuondolea laana!!!
Si yameshafunguliwa subiri usije piga yowe humu baadaye tena kuwa yafungiwe au kuhoji kwa kwa nini yamefungiwa .Mark my words please
 
Asante mama umeonesha kujali human rights kwa vitendo. Hivi jpm angekuwa bado anaongoza hata kwenda chooni kunya so tungekuwa tunaomba ruhusa serikalini! Mana udictator ulikuwa umeota mizizi.

Mi naona mama anatufuta machozi Sana. Hakiyamungu juzi Nape alipo yafungua magazeti Yale nilililia kwa furaha na kumshukuru mungu kwa kifo Cha jpm Mana ametuondolea laana!!!
Lakini ni vema pia kumkumbusha ya kwamba Mbowe sío gaidi
 
Hizi mada za Magufuli Magufuli mumuache Apumzike basi hatupo naye
Hawezi jibu chochote
kingine Hatamkimchukia haita wasaidia kitu Hayupo
 
We kila uzi unataka watu wasiongee kuhusu Magufuli? Kwani kuna baya gani watu kuhoji? Acha wahoji hakuna madhara
 
MODS, REKEBISHENI JINA LA GAZETI LISOMEKE TANZANIA DAIMA BADALA YA DANZANIA DAIMA.
Msisubiri kuambiwa.
 
Asante mama umeonesha kujali human rights kwa vitendo. Hivi jpm angekuwa bado anaongoza hata kwenda chooni kunya so tungekuwa tunaomba ruhusa serikalini! Mana udictator ulikuwa umeota mizizi.

Mi naona mama anatufuta machozi Sana. Hakiyamungu juzi Nape alipo yafungua magazeti Yale nilililia kwa furaha na kumshukuru mungu kwa kifo Cha jpm Mana ametuondolea laana!!!

Muulize Nape na Mwakyembe na Tanzania Daima ilifungiwa kwa kuwasema Mkapa na Kikwete
 
Mjomba Magu alikuwa hana simile labda inatokana na historia yake huko nyuma.
Lakini magazeti yalifungiwa kwa sheria tulizotunga bungeni na watu wale wale walioyafungua leo.Sheria ziangaliwe upya kwanza.
Pammoja na kuyafungulia,biashara ya kuuza magezeti imedolola sana.Kubenea kasema wanahitaji serikali iwawezeshe.
 
Back
Top Bottom