Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
NakaziaAgizo la Rais siyo sheria!!
Inatisha kuona kiongozi serikalini akisema agizo la Rais ni sheria.
Banana republic stuff.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaAgizo la Rais siyo sheria!!
Inatisha kuona kiongozi serikalini akisema agizo la Rais ni sheria.
Banana republic stuff.
Mbona kama hao wote vifunga vilishakwisha
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape.
"Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa Mwanahalisi,Mawio,Mseto,Tanzania Daima ambayo yalikuwa yamefungiwa, tuanze kwa kufungua ukurasa mpya Ili tumalize kabisa jambo hili,kifungo kimetosha " Amesema Waziri Nape
======
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Leseni zitatolewa kwa Magazeti manne yaliyokuwa yamefungiwa. Magazeti hayo ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima
Ameeleza hayo Jijini Dar es Salaam leo Februari 10, 2022 katika Kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari na kusema, "Kifungo kimetosha"
Aidha, amesema Serikali inalenga kuboresha mahusiano kati yake na akieleza, "Rais ameelekeza kupitiwa #Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu zinazosimamia Sekta ya Habari na kuona namna ya kuzifanya ziwe rafiki na sio kikwazo katika shughuli za Wanahabari"
Amesema Serikali itatumia Bussra kuhakikisha mambo yanaenda sawa, na kwamba nia ya Serikali ya Awamu ya Sita ni njema hivyo watengeneze mahusiano na maridhiano mazuri, pia washikamane kwa pamoja
Ameongeza, "Najua tulipotoka, wakati mwingine safari ya mabadiliko sio rahisi na inaweza kuchukua muda. Inapochukua muda haimaanishi safari imesimama maana ni rahisi kutuhumiana kutosonga mbele. Wakati mwingine unasafiri unakwenda unakutana na jiwe, ukikutana na jiwe using'ang'anie kulipasua, rudi hatua moja nyuma nenda kushoto au kulia unaenda mbele. Ukirudi hatua moja haimaanishi umeamua kuacha safari, bali unatafuta njia nzuri ya kuendelea na safari"
Zaidi, soma:
- Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia
- Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020
- Serikali yalifungia gazeti la MSETO kwa miaka 3 kwa kuandika habari likitumia nyaraka za kugushi
- Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini
Fidia Nani atawalipa?Agizo la Rais siyo sheria!!
Inatisha kuona kiongozi serikalini akisema agizo la Rais ni sheria.
Banana republic stuff.
Jamani channel zilizoongezwa mbona kwangu sizioni?Kuna masharti kabla ya kuzipata
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape.
"Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa Mwanahalisi,Mawio,Mseto,Tanzania Daima ambayo yalikuwa yamefungiwa, tuanze kwa kufungua ukurasa mpya Ili tumalize kabisa jambo hili,kifungo kimetosha " Amesema Waziri Nape
======
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Leseni zitatolewa kwa Magazeti manne yaliyokuwa yamefungiwa. Magazeti hayo ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima
Ameeleza hayo Jijini Dar es Salaam leo Februari 10, 2022 katika Kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari na kusema, "Kifungo kimetosha"
Aidha, amesema Serikali inalenga kuboresha mahusiano kati yake na akieleza, "Rais ameelekeza kupitiwa #Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu zinazosimamia Sekta ya Habari na kuona namna ya kuzifanya ziwe rafiki na sio kikwazo katika shughuli za Wanahabari"
Amesema Serikali itatumia Bussra kuhakikisha mambo yanaenda sawa, na kwamba nia ya Serikali ya Awamu ya Sita ni njema hivyo watengeneze mahusiano na maridhiano mazuri, pia washikamane kwa pamoja
Ameongeza, "Najua tulipotoka, wakati mwingine safari ya mabadiliko sio rahisi na inaweza kuchukua muda. Inapochukua muda haimaanishi safari imesimama maana ni rahisi kutuhumiana kutosonga mbele. Wakati mwingine unasafiri unakwenda unakutana na jiwe, ukikutana na jiwe using'ang'anie kulipasua, rudi hatua moja nyuma nenda kushoto au kulia unaenda mbele. Ukirudi hatua moja haimaanishi umeamua kuacha safari, bali unatafuta njia nzuri ya kuendelea na safari"
Zaidi, soma:
- Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia
- Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020
- Serikali yalifungia gazeti la MSETO kwa miaka 3 kwa kuandika habari likitumia nyaraka za kugushi
- Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini
Samia akiwa wapi?Wamwondoe Abbas Wizarani, huu ujinga ulikuwa wa kwake na Mwendazake
Nakulaaani utakufa ukiwa mbeba mizigo tu hapo ufipaNdio utabadili mboga? Wewe utakuwa wa kula miguu ya Kuku tu mpaka kiama.
Ameongeza, "Najua tulipotoka, wakati mwingine safari ya mabadiliko sio rahisi na inaweza kuchukua muda. Inapochukua muda haimaanishi safari imesimama maana ni rahisi kutuhumiana kutosonga mbele. Wakati mwingine unasafiri unakwenda unakutana na jiwe, ukikutana na jiwe using'ang'anie kulipasua, rudi hatua moja nyuma nenda kushoto au kulia unaenda mbele. Ukirudi hatua moja haimaanishi umeamua kuacha safari, bali unatafuta njia nzuri ya kuendelea na safari"
Kweli awamu ya jiwe ilikuwa nyingine. Awamu hii musafishe makosa yote ya awamu ya tano, tuanze upya.White smoke has emerged from the chimney atop the Sistine Chapel at the Vatican, signaling that the cardinals have elected Jorge Mario Bergoglio—a 76-year-old Argentine and archbishop of Buenos Aires—as the new pope. Bergoglio will now be known as Pope Francis.14 Mar 2013
Nakubaliana na wewe kwani wapo walioanza kutoa vitisho kwa baadi ya vyombo mapema mno katika ofisi zao mupya🤔.Nape has to touch it lightly. Some of the CCM die-hard are not happy. They may make the move short living.
Lazima kieleweke🤔Basi Mwanahalisi itaanza na madudu ya Makonda, Tanzania daima itakuwa inaweka yaliyojiri mahakani kesi ya mbowe na kifuatilia ugonjwa wa afande Swila
Huyu Waziri anacheza karata zake vizur ila ,sheria kandamizi kwa ajili ya vyombo vya habar hajabadilsha so, bado kuna Safar ndefuSuluhisho ni kubadili sheria kandamizi ya magazeti na sio haya maigizo.
Mkandamizo wa EU...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha ibaki hivyo
Mh Lissu ni hazina ya taifa letu, Mungu ambariki saanKuna watu niliwamiss saaana kwa makala zao ambazo unasoma bila kuachia hadi mwisho, kuna zile taarifa za kipelelezi ulikuwa ni utamu mtupu; Nyaronyo Kicheere, Joster Mwangulumbi, Saed Kubenea, Majid Mjengwa, Chahali etc na sometime baba lao TUNDU ANTIPAS MUNG' WAI LISSU ni mwendo vitasa, angalau nitaanza kusoma magazet.
TITLE YA KWANZA YA TANZANIA DAIMA
1. Shaidi wa serikali kesi ya Mbowe akimbia kizimbani
2. Mashaidi wa kesi ya kubumba watoka nduki mahakamani
Hahaha najua umechukia mlikuwa hamtaki kisikia wala kuliona hiliSuluhisho ni kubadili sheria kandamizi ya magazeti na sio haya maigizo.
Basi Mwanahalisi itaanza na madudu ya Makonda, Tanzania daima itakuwa inaweka yaliyojiri mahakani kesi ya mbowe na kifuatilia ugonjwa wa afande Swila