Serikali zuia Taasisi za Serikali kununua IT Specialist na Apps kutoka KENYA

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
6,035
Reaction score
15,080
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.

Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.

Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.
 
Nchi imeachwa uchi wa mnyama
 
Mama mama mama anaupiga mwingi. Reforms ni muhimu kila kona kunusuru hili taifa. Matrash n mengi kwenye huu mfumo ya kiwizi wizi
 
Possibly yapo mapato yanayo tiririkia Kenya, hata huyo anayejitangaza anapesa nyingi mtoto mdogo, Kenya ni nyumbani kwake haswaa!,
*Sikulijua hili mnaacha kuchukuwa makampuni ya U. K!
 
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.

Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.

Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.
CCM imejaza mabumpkin kwenye system
 
Back
Top Bottom