Serikali zuia Taasisi za Serikali kununua IT Specialist na Apps kutoka KENYA

Hahaha unadhani wanajenga mijumba Mbweni kwa kubahatisha?

Wasinunue Kenya wanunue wapi, Kariakoo?
 
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.

Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.

Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.

Yote Tisa, la mno halikuwa kumwachia Lissu na kujikita kwenye haki?
 
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.

Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.

Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.
Hapana , si mashirika yote yamewapa wakenya kazi za kutengeneza app zao.

Kunaashirika ambayo yana home grown softwares, na wataapa wa cyber, vile si maarufu sana
 
Sio yote lkn kwa asilimia kubwa ni KENYA, INDIA na China.
Na majuzi tu tumeskia hapo Kkooo kuna Wachina wanauza LUKU yaani wameidukua mifumo ya TANESCO wanauza Unit bei kitonga
 
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.

Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.

Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.
Yaani ccm wamefsnya basdhi ya watu kuwa, na akili ndogo kama za, kuku,
Ukikusanya, bajeti za, TZ, Uganda, Rwanda, Burundi, south Sudan, ndio unapata, bajeti ya Kenya! Kenya ni super power EA! Mkubwa, hadindiwi! Hizo, tender za, serikali haziendi Kenya kwa, bahati mbaya!
Mkubwa hadindiwi, chukua mfano, Qatar, wamewekeza, tilioni 384 kununua siraha kutoka USA, hizo, pesa ni sawa, na makusanyo yetu kwa miaka 10!
Ccm wote ni ass hole, ni kupe, ni kama virus,
 
Ni mambo ya aibu kwa kweli, kuna taasisi za serikali wanatumia mifumo/apps kutoka kenya.
 
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.

Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.

Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.
Mnawekeza kwa Steve Nyerere na kina Mwinjagu halafu unajifanya kuleta ujinga hapa!
 
Sio yote lkn kwa asilimia kubwa ni KENYA, INDIA na China.
Na majuzi tu tumeskia hapo Kkooo kuna Wachina wanauza LUKU yaani wameidukua mifumo ya TANESCO wanauza Unit bei kitonga
Asilimia kubwa ni india, kenya walikuwa wanapata tenders sana 2000s mpaka 2010s, after that india take over

Jpm alipoanzisha ega, kazi zao zikapungua sana, although hazija pungua for 100%

Suala la wachina kuuza luku, i dont thini that is correct or tanesco hawajawa alerted
 
Back
Top Bottom