Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Vizuri tuleni wote wadau, hii code ya Luku sisi wa kariakoo hatujaijua. Ngoja tuisake kitaa. Wadukue na vocha za simu. Noma sanaSio yote lkn kwa asilimia kubwa ni KENYA, INDIA na China.
Na majuzi tu tumeskia hapo Kkooo kuna Wachina wanauza LUKU yaani wameidukua mifumo ya TANESCO wanauza Unit bei kitonga