kila kitu kiko mifukoni mwaoKwa hiyo wana access za taasisi zetu?
we uko nchi gani, samaria au uyahudi?Kuna udukuzi gani umefanyika ?
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.
Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.
Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.
atakuwa mwisho wa nchiwe uko nchi gani, samaria au uyahudi?
Yaaani Password jamaa wanazo wao mifumo kibaoooNchi imeachwa uchi wa mnyama
Tulikosea sana kuwapa kazi za Mifumo ya TEHAMA hawa mabwana Vingerezakila kitu kiko mifukoni mwao
Mama mama mama anaupiga mwingi. Reforms ni muhimu kila kona kunusuru hili taifa. Matrash n mengi kwenye huu mfumo ya kiwizi wiziUjumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.
Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.
Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.
Serikali imewapa mifumo gani nyeti???Tulikosea sana kuwapa kazi za Mifumo ya TEHAMA hawa mabwana Vingereza
CCM imejaza mabumpkin kwenye systemUjumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.
Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.
Anyway tumevuliwa nguo, tuchutame halafu tuchukue hatua.