Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,700 Reaction score 9,570 May 20, 2025 #41 mmteule said: Sio yote lkn kwa asilimia kubwa ni KENYA, INDIA na China. Na majuzi tu tumeskia hapo Kkooo kuna Wachina wanauza LUKU yaani wameidukua mifumo ya TANESCO wanauza Unit bei kitonga Click to expand... Vizuri tuleni wote wadau, hii code ya Luku sisi wa kariakoo hatujaijua. Ngoja tuisake kitaa. Wadukue na vocha za simu. Noma sana
mmteule said: Sio yote lkn kwa asilimia kubwa ni KENYA, INDIA na China. Na majuzi tu tumeskia hapo Kkooo kuna Wachina wanauza LUKU yaani wameidukua mifumo ya TANESCO wanauza Unit bei kitonga Click to expand... Vizuri tuleni wote wadau, hii code ya Luku sisi wa kariakoo hatujaijua. Ngoja tuisake kitaa. Wadukue na vocha za simu. Noma sana
F Full Blood Picture JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 4,476 Reaction score 9,583 May 20, 2025 #42 π±π±π±π±π±π±
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,264 Reaction score 2,910 May 20, 2025 #43 Yani hili jibu walilo litoa baada ya mtu wao kuzuiwa tu airport, sasa kama angewekwa selo nusu saa tu nahisi Tanzania ingekua uchi .
Yani hili jibu walilo litoa baada ya mtu wao kuzuiwa tu airport, sasa kama angewekwa selo nusu saa tu nahisi Tanzania ingekua uchi .
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,080 May 21, 2025 Thread starter #44 Adverse Effect said: Vizuri tuleni wote wadau, hii code ya Luku sisi wa kariakoo hatujaijua. Ngoja tuisake kitaa. Wadukue na vocha za simu. Noma sana Click to expand... Ukiona hupat hizo taarifa unajitenga nna wajuba mtaaani
Adverse Effect said: Vizuri tuleni wote wadau, hii code ya Luku sisi wa kariakoo hatujaijua. Ngoja tuisake kitaa. Wadukue na vocha za simu. Noma sana Click to expand... Ukiona hupat hizo taarifa unajitenga nna wajuba mtaaani