Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

Uliwahi kuwa mwanamke au unasema tu.

Kanishangaza aisee

Kabla hata sijajua kujamiina nilikua naumwa mpak nazimia

Baadae ikapungua na baada ya kuzaa maumivu yakaisha kabisa
 
Lete wako mchele tumlinganishe. Mm msomi wa udaktari na nimesomea ng'ambo
Ng'ambo is not everything, nahisi hata taaluma yenyewe ndiyo umeanza kuoractice...... maumivu wakati wa hedhi not necessarily reflects mtu kutumika SANA KWENYE NGONO.... Mark my words!!!

Nafahamu with VIVID EXAMPLES!!! Wewe vya kusoma na wengine practical, as a WOMAN!!!
 
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
  • 1. Endometriosis.
  • 2. Uterine fibroids.
  • 3. Adenomyosis.
  • 4. Pelvic inflammatory disease.
  • 5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)

Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.

Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..

Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.

Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.

Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
Liar

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Tangu Rais aheshimishwe kuwa Dr wa Honorary Causa kila mtu anajiita Dr. bila kujali ni MD au kwa heshima
 
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
  • 1. Endometriosis.
  • 2. Uterine fibroids.
  • 3. Adenomyosis.
  • 4. Pelvic inflammatory disease.
  • 5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)

Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke kwa kutokujitunza.

Zilizobakia zote zinasababishwa ama na maambukizi wakati wa kujamiiana au kutumia madawa ya kuzuia mimba mara kwa mara..

Na nyingine husababishwa na utoaji mimba.

Kwahiyo ukiona huyo unayemuita bebi anagugumia mpk kulzwa wakati wa hedhi ujue umepigwa. Katumika mpk kachakaa. Homoni za kike pamoja na mifumo ya via vya uzazi imeparaganyika.

Wewe ktk makuzi yako ushawahi hata kusikia kuwa mamako yuko kwenye hedhi? Au kalazwa kwasbb ya hedhi? Sasa kwann hawa viumbe wa leo? Jibu ni moja tu wamechezea huko kwa bibi mpk basi! Wameingiza midole, ulimi, midawa, chupa, mate, n.k. Atakosa maambukizi???

Na kwa wanawake wa hivi mtoto utamtafuta kwa tochi.

Kataa uhuni wa mapenzi, achana na midada iliyotumika.

Chukua ushauri huu toka kwa kungwi na daktari mbobezi Sexless
Wewe ni Gynaecologist ????? Kama sio basi Ushauri wa Ny......k..o
 
Kataa wahuni
 
Yaani nimetafakari hadi nikashindwa kucomment...
Binafsi naumwa tumbo tangu nimevunja ungo, naumwa ile haswa.
Sijawahi kutumia vidonge vya uzazi ndo nawaza maambukizi aliyoyasema...yaani zaidi ya 30 yrs nina maambukizi yasiyoonekana kwa vipimo vya madaktari.
Hajaamanisha hivo, wanawake karibia wote wanaumwa tumbo wakiwa kwenye siku zao,, huyu kasema unakuta mwanamke anaumwa mpaka hajielewi yan wengine mpaka wanalazwa ndo anaowazungumzia
 
Back
Top Bottom