SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

Bus zitaendelea kupiga root kama kawaida,maana nahisi Kuna mashrti kwenye hiyo train ambapo kwenye bus ni ruksa.

Imagine bibi anatoka Dom na gunia la mahindi kilo 50 kama zawadi na Tenga la kuku.atapanda treni au basi?
Unazani ni fuso hilo
 
We kwa fikra zako unadhani atafirisika kwa sababu ya SgR?
 
Sorry, Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Sgr is different man, credit where is due
Same like BRT ilivyoanza watu walikuwa wanakwenda mjini bila shughuli maalum ili mradi akapande bus la mwendokasi na wakatabiri kwamba biashara ya daladala zitakufa lkn leo hii daladala bado zipo zinaendelea na bado hazitoshi
 
Pongezi kwq Mwamba
 
Ufanisi wa SGR naupa 5yrs max, tutarudi hapa kulalamikia uendeshaji wake. We've never been serious as a country, neither have we performed well in running state companies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…