Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Judging SGR kwa kutumia kipimo cha brt is not fair, na haitofit. Sgr ni zaidi ya dar, ina expand to mikoano, brt inakuja dar kipind ambacho tayari dar ilishakuwa occupied with such similar transport + haivuki nje ya dar. Changamoto iliyopo hapa ni utunzaji, bongo tuna track record mbaya ya utunzajiSame like BRT ilivyoanza watu walikuwa wanakwenda mjini bila shughuli maalum ili mradi akapande bus la mwendokasi na wakatabiri kwamba biashara ya daladala zitakufa lkn leo hii daladala bado zipo zinaendelea na bado hazitoshi
Kwenye ndege mlisema hivyo hovyo zilipoanza,sasa hivi zinajaa mpka kupata ticket ya siku hiyo hiyo ni issue...Baada ya mwaka watu watalichoka hilo treni na kuanza kurudi kwenye mabasi.
Abiria wamejazana hivyo kwa sababu ya kwenda kulishangaa
Miaka 10 mbele tunaiangaliaSerengeti will never die,Tena hii train ni muhimu sana kwa kigoma
Hivi DAR - DOM ni masaa mangapi kwa hii train?Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom
View attachment 3051376
My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.
View attachment 3051377
Nakazia, shida itakuwa kwenye utunzaji tu lkn sgr imekuja wakati sahihi kabisa na faida itaonekana.Judging SGR kwa kutumia kipimo cha brt is not fair, na haitofit. Sgr ni zaidi ya dar, ina expand to mikoano, brt inakuja dar kipind ambacho tayari dar ilishakuwa occupied with such similar transport + haivuki nje ya dar. Changamoto iliyopo hapa ni utunzaji, bongo tuna track record mbaya ya utunzaji
Wapo abiria wangapi wa hivi? Halafu pamoja na hivyo bado mabasi hayaishi yote ila yanapunguzwa tuBus zitaendelea kupiga root kama kawaida,maana nahisi Kuna mashrti kwenye hiyo train ambapo kwenye bus ni ruksa.
Imagine bibi anatoka Dom na gunia la mahindi kilo 50 kama zawadi na Tenga la kuku.atapanda treni au basi?
Hawa hawajakimbia ila wanajitanua kibiasharaSoko la mabasi bado linadai tena sana tu. Abood au hata Shabiiby hawapaswi kusikitishwa au kukatishwa tamaa na ujio es SGR_TZ. Kuna route za Dodoma kuelekea magharibi ya nchi zinadai. Dom-Kigoma kupitia Tabora au Kahama ni mojawapo ya route zinazoweza kuchukua nafasi za Dom Mor Dom Dar.
Utafiti niliofanya unaonyesha uhitaji makubwa wa usafiri wa mabasi magharibi mwa Tanzania na mashariki mwa nchi za Rwanda na Burundi.
Hivi mwendokasi unauonaje mkuuuuu.Mwanzo mzuri.
Huwa tuna tatizo kubwa la matengenezo na wizi wa vifaa, Serikali iwe serious sana SGR isife wala kudumaa kwa sababu yoyote ile iwe hujuma za wenye mabasi na malori.
TRL hawajajipanga tu, kwa kawaida treni zina behewa moja mahsusi kwa mizigo mikubwa.Kwenye buti
Nauli bei gani dar dodomaWengibwanapanda sababu ya Ushamba na ugeni wa Treni,wakilichoka wataacha na litaanza kwenda Tupu hilo dude,nauli ni kubwa sanaa.
Maendeleo imekuwa kutiana "adabu" tena?Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom
View attachment 3051376
My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.
View attachment 3051377
Bus gani unakaa na gunia la mahindi?
Bus gani unaingia na kuku ndani?
Kwa nini hawataki kujenga viwanda?Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom
View attachment 3051376
My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.
View attachment 3051377
Wanaanzaga mambo kwa moto huko mbele sasaTz haujui vizur.......
Wakirudi 900 toka Dom kuja Dar hapo inakuwa 1800. Wakifanya trip 2 kila rout inakuwa ni karibu abiria 4000, fikiria tumeokoa diesel kiasi gani? Tumeokoa pesa za kigeni za kuagiza diesel kiasi gani?Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.