SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

Kwanini wakati wanachimba hiyo Geothermal wakati huo huo hamkuwa mnajenga njia kuunganisha katika " National Grid? ", kumbukeni mnaanza kukatwa capacity charges kuanzia siku wameanza kuzalisha umeme.

Mimi nimekuachia umueleweshe polepole maana mimi nimemkasirisha nikimjibu ni vita!
 
Tony254 unaona na mimi nimetukanwa? 🤷‍♂️ 😂
No ndugu! Nina imani UJINGA kwa kiingereza ni IGNORANCE hivyo basi si tusi bali kielelezo cha upungufu wako kwenye mada fulani. Mara nyingi sana umedhihirisha UJINGA wako kwenye huu jukwaa na lazima ukweli usemwe.
 
Kwanini wakati wanachimba hiyo Geothermal wakati huo huo hamkuwa mnajenga njia kuunganisha katika " National Grid? ", kumbukeni mnaanza kukatwa capacity charges kuanzia siku wameanza kuzalisha umeme.

Nyerere hydro-power dam to take 66 per cent of energy budget​

SATURDAY MAY 9 2020​


The implementation of the second phase project to con-struct 400 kV power transmission line from Nyakanazi to Kigoma (Sh34.3bn), the 400 kV project from the Julius Nyerere Center –Chalinze-Dodoma (Sh8.4bn), the kV 400 line from Chalinze to Kinyerezi (Sh3.89bn).​


Nyerere hydro-power dam to take 66 per cent of energy budget
 
Anyways, jengeni SGR yenu. Kenya hatuna wivu wala hatutazima ndoto zenu za kuunganisha nchi za kanda hii. Sisi pia tunajenga reli yetu at our own speed and our own terms. We will seek out loans if we must, but the end goal is the same: Efficient movement of goods and people within East Africa. Na msiwe na shaka. Reli zote, both the Central Corridor and Northern Corridor yatakamilika hata kama ni baada ya miaka 50. Naomba mjifahamishe na the East African Railway Masterplan.

Mimi hustaajabishwa na fikra za watanzania wengine (especially kwenye nyuzi kama hii) eti wanatunyanganya mizigo ya Uganda eti ohh mizigo ya Rwanda yatanyakuliwa na TZ eti ohh reli yetu itakuwa the best na hekaya zingine, na nabaki kucheka na kuwasikitia tu. Lengo ni moja. Sioni haja ya kuiponda reli ya Kenya na halikadhalika sioni (na sijaona) sababu ya wakenya kuiponda reli yenu.

Good luck and all the best with your project. Lets make East Africa prosperous, TOGETHER.

ADIOS!
 
Ukweli mchungu [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Njia pekee iliyobaki kwa Kenya ni kukubali kwamba Tanzania ni "Unstoppable", na waungane na Tanzania kama waliivyofanya, Rwanda, DRC, Burundi, Uganda, Malawi na Zambia.

Kenya lazima ichague kaundelea kushindana au kukubali kuungana na Tanzania.
If you fail to beat them join them simple like that.
 

Figures from the Rwanda Revenue Authority (RRA) show that 70 per cent of Rwandan imports passed through Tanzania via the Central Corridor.

Only 30 per cent of the country's imports passed through Mombasa port before finding their way into Rwanda through the Northern Corridor.

Why Rwandan traders have dumped Kenya for Tanzanian port
 
Hehehehehe angalia jinsi unataka kugombanisha ndugu wawili, ww uliwahi kuniambia nataka kukugombanisha ww na mkenya mwenzako kwenye uzi wetu pendwa ule, ss leo mbn unataka kuwagombanisha WaTz wawili? Hii haikubaliki ww weka hoja pasipo kuomba usaidizi kwa mtu yeyote yule.
 

kisa nimekataa ujuaji wake kwenye geothermal imagine mtu hajui tofauti ya $20 per unit na $20 Cent per unit ndo anifundishe mimi kuhusu geothermal! Labda anipe tofauti ya kWh na unit cost kwanza! Maana nina wasiwasi na ujuaji wake!

CC: Tony254
 
Hahaha. Naona jana sindano lilipenya kweli. Pole ndugu.
 
Wee bwana mdogo, hamna kitu kama $ 8 cents.
 
Live from SGR station





















The story behind
Masanja Kadogosa kasema operation cost ya electrical SGR ni 1/3 ya diesel SGR kwa umbali sawia! Hapa nimewaonea huruma jirani maana watapelekeshwa kwenye vita ya kupunguza gharama mpaka waseme po! Ikumbukwe mchina anadai na ataendelea kudai chake! malipo ya dhambi ya ubaguzi wa COW tunayaona hapahapa!
 
Tangu lini meli ikabeba mizigo mengi kushinda malorry yanayotumia barabara?
Uko serious? If one of the type being built by shipping agency in Tanzanis can carry 49 wagons n Mwanza -Port Bell is 7 hrs cruise, how many wagons will be carried by 4 wagon ferries per day?

Mind u unlike road transport, in Lake there's no border checking!
 
It takes 1 hour to load cargo and 7 hours to cross over. That is 8 hours one way.

It takes 1 hour to offload the cargo and 7 hours to cross back to TZ. That is another 8 hours back.
That is 16 hour round-trip. In 24 hours, one ship will make 1.5 roundtrips. 2 full roundtrips will be done in 32 hours (1.25 days)

4 ships * 49 wagons = 196 wagons in one roundtrip (16 hours). 392 wagons in two roundtrips (1.25 days)
Kwa siku moja na robo mtakuwa mumesafirisha 392 wagons pekee. Mzee nilikuuliza unajua Uganda huwa wanaimport containers ngapi kwa mwaka au kwa siku? Hukunijibu.
 
Those r wagon cars they just need engines at both ends to push n pull them in n out of ferry! That can happen in less than 1 hour!

Though MV Umoja is old and small, the new wagon ferries will be faster n ship more wagon cars
 
Those r wagon trains they just need a locomotive to push n pull them in n out of ferry! That can happen in less than 1 hour!
Soma hii report utajua kuwa hamuwezi kuifikia Mombasa port. Utafahamu mengi kuhusu umuhimu wa Mombasa port. Mombasa port ni top 5 in Africa in terms of volume of cargo handled. Sasa sijui mtatushinda vipi? South Sudan, DR Congo, Tanzania, Ethiopia, Burundi, Rwanda na Uganda wote wanatumia Mombasa port.

Uganda remains biggest client of the port of Mombasa | The East African
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…