Akiwa Jimboni kwake Gairo Mkoani Morogoro, Mbunge Mheshimiwa Shabibi amewatonya wananchi juu ya mawaziri watumbuliwa.
Akiongea kwa mtindo au style ya kumsifu waziri wa Maji Juma Aweso alisema " Mheshimiwa Aweso wewe ni mchapa kazi Usiye na makuu wa kutamani makubwa, mwenzio mmoja aliyetenguliwa alishaandaa baraza lake la mawaziri , Ma RC, Ma DC, Ma DED na alibakiza nafasi chache za ubalozi" Alisema Waziri Aweso sio mtu wa kujikweza.
Hìi ina maana mmoja wa watumbuliwa alishajiandaa kuwa Rais tutake tusitake.