Pre GE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aisee!
 
Mlengwa hapo si mwingine bali kijana wa Yusufu.
 
SGR imemfanya achnganyikiwe ameanza uchawa kwa mamaπŸ˜€πŸ˜€
Akae akijua tu jana imesafirisha abiria 900 sawa na mabasi kama yake 17πŸ˜‚
Aanze routy Dar to mpwampwa
 
Ndio uanze na kuwapanga kabisa physically? wakati Ile inakua km unamediteti huko kwenye subconscious mind ndio mambo yanajipanga sio unaonyesha wazi wazi kabla hujawa
NDio inavyokuwa mkuu na sio unafikiria tuu huku matendo na maneno yako hayaakisi unachokisema.

Kila unachofanya na kukisema basi unatuma taarifa katika subconscious mind yako na kubadilisha kila seli ya mwili wako iamini hivyo...
 
fisadi makamba urais wa tanzania ataishia kuusoma kwenye gazeti tu, nchi haiwezi kuongozwa na zwazwa kama fisadi januari, hata Mungu mwenyewe hawezi kuruhusu hilo
 
Ingependeza asaidie mamlaka kuwabaini wote waliopangwa kwenye uongozi wa huyo mtumbuliwa na wote waliopangwa wachunguzwe kama walikuwa wanafahamu ama laa kama walikuwa wanafahamu basi hatua kali za kinidhamu na kimaadili zichukuliwe dhidi yao
Mkuu, na kama wewe ni mmoja wapo ulipangwa kuwa Waziri, hauta lalamika kwa hatua hizo za kisheria zitakazo chukuliwa dhidi yako?
 
kama makamba alifikia hatua hiyo, basi kuna mengi hatujui.
 
Kwani hiyo inamnyima nafasi ya kugombea? Labda watoe fomu moja. Akienda TLP wanaweza kumpitisha kuwa mgombea johnthebaptist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…