Pre GE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
NDio inavyokuwa mkuu na sio unafikiria tuu huku matendo na maneno yako hayaakisi unachokisema.

Kila unachofanya na kukisema basi unatuma taarifa katika subconscious mind yako na kubadilisha kila seli ya mwili wako iamini hivyo...
Hivi umesoma vizuri law of attraction ilivyo au huelewi ipoje? Law of attraction IPO hivi sahizi Mimi nataka let say Million 1 nafocus kwamba nataka mtu fulani anipatie Million 1 bila kuongea nae yule mtu ananipigia Simu ananiambia ananitumia Million 1, ushanielewa?
 
Wa kusifiwa ni Mungu pekee kwenye nafasi ya Kwanza! Sio RAIS,hiyo ni Kufuru. acha Uchawa.
 
Acha woga ww huwa tunadeal nao vizuri tu
 
Shabiby bado hajasema bus zimedodaasss dar dom hapandi mtu.....
Amewehuka sasaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…