Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umesoma vizuri law of attraction ilivyo au huelewi ipoje? Law of attraction IPO hivi sahizi Mimi nataka let say Million 1 nafocus kwamba nataka mtu fulani anipatie Million 1 bila kuongea nae yule mtu ananipigia Simu ananiambia ananitumia Million 1, ushanielewa?NDio inavyokuwa mkuu na sio unafikiria tuu huku matendo na maneno yako hayaakisi unachokisema.
Kila unachofanya na kukisema basi unatuma taarifa katika subconscious mind yako na kubadilisha kila seli ya mwili wako iamini hivyo...
John wwe ni mwana wa ndani ya ccm, tupe za uhakika? Mbona akina Nape hawana ubavu, sana sana watatembea kwa miguu kuomba radhi (kama kweli wana makosa)Hali si hali 😂😂
kwasababu february katumbuliwa au?Ndani ya chama si shwari...😂
Wa kusifiwa ni Mungu pekee kwenye nafasi ya Kwanza! Sio RAIS,hiyo ni Kufuru. acha Uchawa.Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.”
Amesema hayo katika mkutano na Wananchi Wilayani Gairo wakati wa ziara ya Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.
Tunayetakiwa kumtumikia wa kwanza ni Rais halafu wanakuja watu wengine, lakini mnajisahau, kuna mawaziri nawajua, wameshamaliza vikao vyote wamebakiza Mabalozi wa nyumba 10.
Usicheze na mtu aliyeshika mpini, aliyeshika mpini ni Rais ambaye ndiye huyohuyo Mwenyekiti wa Chama.
View attachment 3051075
Huyu atapitia njia zote alizopitia Lowassa hatoupata urais.Mlengwa hapo si mwingine bali kijana wa Yusufu.
Watu wana uchu wa madaraka na waliapa kuitawala jamhuri hii iwe usiku au mchana.Watasema na kusemezana yote
Ni kumdharau msiks kijiti.Mbona vita imeanza mapema sana
Tutayasikia yote kidogokidogokama makamba alifikia hatua hiyo, basi kuna mengi hatujui.
Acha woga ww huwa tunadeal nao vizuri tuMoja ya vitu nilivyojifunza katika maisha- ni kutokumchukulia poa bosi (kutokumdharau bosi)-kwa kuwa ndiye aliyeshika mpini wa kisu kwa wakati huo. Haijalishi huyo bosi ni kilaza kiasi gani. Unatakiwa uishi naye kwa akili. Kumwonyesha dharau za wazi au hata za kificho ni hatari kwako wewe uliyeshika makali ya kisu.
Shida walishaiona nchi ni yao wanajiamulia watakavyo ndio iwe, viburi.Watu wana uchu wa madaraka na waliapa kuitawala jamhuri hii iwe usiku au mchana.